Chuo cha ujenzi- ICoT chini ya wizazra ya ujenzi mkoani morogoro kinachotoa coz ya udereva kimekuwa kikiendesha coz hiyo kwa utapeli na kinyume na utaratibu.
Wapo wanafunzi wa mwez wa 11, 12 , 2025 na mwez wa 1, 2026 ambao wengine wamekamilisha masomo( week 5) bila kufanyiwa mitihni na ivyo...