kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  2. I

    ushauri wa kozi za chuoni

    Wakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
  3. Holota

    KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  4. M

    Vyuo Vikuu vya nje ya nchi vinavyotoa kozi za Mtandaoni (Online)

    Habarini. Kwa mwenye uzoefu wa vyuo vikuu vya nje ya nchi vyenye hadhi, vinavyotoa kozi mbalimbali online, naomba anisaidie majina ili niweze kuvifatilia
  5. D

    NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
  6. N

    Kozi ya diploma in pipe works,oil&gas engineering

    Wakuu habari.... Hope mko poa katika ujenzi wa Taifa Kuna hii kozi ya diploma in pipe works oil and gas engineering ambayo ilianzishwa mwaka 2017 chuo Cha ufundi Arusha na mpk sasa inatolewa na NIT, Kimsingi hii kozi ni nzuri sana kwani Ina fundisha vijana skills za mechanical engineering na...
  7. ufalmedigital

    Unatafuta taarifa sahihi kuhusu chuo unachotaka kujiunga nacho?

    🌍 Leo umejifunza nini kuhusu chuo chako? Kama bado, tembelea www.chuosmart.com Maelezo ya kozi, gharama, mazingira, na fursa zipo humo! Usiwe mjinga kwa hiari. Smart Up with ChuoSmart! Unatafuta taarifa sahihi kuhusu chuo unachotaka kujiunga nacho? Kozi, ada, sifa za kujiunga, nafasi za...
  8. Mwanongwa

    Chuo cha Veta - Njiro Arusha kinatuzungusha tuliosoma Kozi ya Udereva, hawapeleki matokeo yetu kwa TRAFFIC.

    Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC. Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
  9. Braza Kede

    Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kusoma

    Ndio. Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kwenda kusoma uko vyuoni. Maana maumivu yamekuwa ni mengi wakuu. Zingatia:: Picha hii haina uhusiano wowote na maelezo ya apo juu. Imetokea tu.
  10. M

    Ushauri wa kozi, Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine

    Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili, Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD) Ipi iko vizuri zaidi. Ni ndoto ya kila form six leaver aliyesoma PCB kusoma MD, lakini kuna daktari mmoja hivi yuko intern kasema hanishauri kusoma MD, unless...
  11. W

    Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  12. Tanzanian kid

    Tuchambue kwa Heshima – Kozi Zipi Zinafaa Tanzania 2025?

    Leo napenda kuanzisha mjadala wa kiungwana kuhusu kozi tatu maarufu sana kwenye dunia ya teknolojia. Tafadhali changia kwa heshima na adabu, tukilenga kusaidiana. 1. Computer Science Faida: Hii ndiyo msingi wa kuwa programmer wa kweli. Unajifunza algorithms, data structures, na programming...
  13. Munch wa Annabelle

    PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

    Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu. Uzi tayari
  14. ufalmedigital

    Ijue vizuri kozi ya architecture

    Architecture ni taaluma ya kusanifu, kuchora na kusimamia ujenzi wa majengo mbalimbali kama nyumba, maofisi, shule, hospitali, misikiti, makanisa, n.k. Mwanafunzi wa kozi hii anafundishwa jinsi ya kubuni majengo kwa kuzingatia matumizi, uzuri, uimara, usalama na mazingira. 2. MUDA WA KOZI Kozi...
  15. R

    kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  16. R

    Kozi gani za VETA zina uhakika wa ajira au kujiajiri kwa urahisi? Wenye uzoefu tuambieni!

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri. Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
  17. Mr Beach Boy

    Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

    01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
  18. navigator msomi

    Nikapige kozi gani ya afya nimechoka kula chaki

    Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 . Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
  19. A

    Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
  20. I

    Ipi tofauti ya kozi hizi??

    Habarini wana jf,hamjambo? Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa najiuliza (uenda kulingana na uelewa wangu),hizi kozi au fani mfano uhasibu,finance,uchumi,hivi...
Back
Top Bottom