Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics ?

Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics ?

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
17,785
Reaction score
57,409

​

Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics ?
🙌
Screenshot_20261003-141008~2.jpg
 
Ugumu wake ni upi hapo? Masomo yenye formula yanakuwaje magumu? Ukishaelewa vitu kama Calculus, Linear Algebra, Complex Numbers, Probability & Statistics na Classical Physics (hasa Mechanics na Waves) kipi kitakushinda hapo?
Binafsi masomo magumu ambayo kwa kweli huwa nashangaa sana wanao yasoma ni kama Sociology, political science, diplomacy, economics na mengineyo ya aina hiyo.
Unasoma vitu ambavyo vinaishia vitabuni, havipo implemntable kabisa. Wasomi wake ni wengi lakini hata uwape nafasi ya kufanyia kazi, bado social status ku improve ni miujiza, mmesoma program moja, lakini implimentation yake inatofautiana kabisa nchi na nchi. Huwa siyaelewi kabisa
 
Shida uchumi wa Science hapa Bongo ushakufa.Sasa mwenye Pesa. Ni yule mpiga Dili.Msomi anabaki njaa.Tofauti na nchi za wenzetu kwenye science ya Quantum physics.obviusly hakuna mtu anaweza dinda ikashindikana kama inalipa
Ausio
 
Mkuu ni vya kawaida tuu endapo ukitia nia.

Nimepiga hiyo Mechanical Engineering mwanzoni ilinizingua sana kwasababu sikusoma Pure Mathematics hasa kwenye Triple Integration, pia Mechatronicsinachanganya kidogo.

Lakini hapo kwenye Quantum physics ndio Kuna kamziki formula nyingi sana huwa naifananisha na BIOCHEMISTRY.

All in all hakuna jambo gumu ni maamuzi tuu.
 
Me naonaga masomo ya kuimba ngonjera kama journalism ,sociology na mengine ya hivyo ndio magumu..hayo ya hesabu sio magumu..
 
Back
Top Bottom