soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 83
- 160
Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi wake na ugumu wake katika kuisoma ukiwa chuo?