Wakuu bila kipotwza Muda
Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi
Basi huku kwetu nako Tanganyika rais wetu amekwenda ziara ya siku sita mjini Seul pmj Na wajumbe wake wako...
Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30 Aprili 1992.
Uhusiano wa Tanzania na Korea umegusa maisha ya wananchi moja kwa moja na lazima na no...
Raisi Samia kafanya ziara nchini Korea ya kusini mapema leo, ntaingusia Korea kusini kidogo leo.
Nchi ya Korea kusini ilianzishwa mwaka 918, wakati wa mgawanyiko wa maeneo ya koo tatu zilizoitwa "Three Kingdoms" koo hizo zilikuwa ni ukoo wa Goryeo, ukoo wa Silla na ukoo wa Baekje.
Koo hizi...
Korea Kaskazini ilituma mamia ya puto zilizojaa taka na kinyesi kuvuka mpaka ulioimarishwa kuelekea Korea Kusini Jumatano, ikiziita "zawadi za uaminifu."Picha kutoka kwa jeshi la Korea Kusini zilionyesha puto zikiwa na mifuko ya plastiki iliyofungwa, baadhi zikiwa na taka na moja ikiwa na lebo...
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola kujaribu kubadili mwelekeo huu
Takwimu zimeonesha kulikuwa na upungufu wa 8% katika Viwango vya Uzazi...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini.
Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi.
Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na...
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi.
Akiwa na mwenyeji wake Balozi Togolani Mavura, amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa...
(1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912.
(2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa.
Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi.
Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo Jumanne ya Desemba 27, 2022 kama sehemu ya msamaha wa watu wengi ambao ni kawaida katika nchi hiyo...
Vikosi vya kijeshi vya Seoul vilisema karibu ndege 200 za jeshi la Korea Kaskazini ziligunduliwa kwenye rada zikiwa angani siku ya Ijumaa
Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kusini ilirusha makumi ya ndege za kivita baada ya kuona idadi kubwa ya ndege za kivita za Korea Kaskazini kwenye...
Korea Kaskazini imerusha kombora kuelekea Kusini, ambalo lilivuka mpaka wa bahari wa nchi hizo mbili kwa mara ya kwanza tangu kugawanyika kwa peninsula hiyo.
Kombora hilo la masafal mafupi lilitua umbali wa kilomita 60 kutoka mji wa Sokcho Kusini na kufyatua kengele za mashambulizi ya anga...
Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga
Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
Ndio fasheni sasa, ukijihami kwa nyuklia unakua na uhuru wa kufanya chochote, Urusi manyuklia yake yamemuwezesha kunyanyasa vitaifa vidogo vilivyomzunguka.
Korea Kusini wamechoka vitisho vya Kim wa Korea Kaskazini, kila siku anabwatuka manyuklia...wameanza mazungumzo ya kujihami....
North...
Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na...
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini
Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari.
Hii dunia...