Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari.

Hii dunia mataifa makubwa yanachomoa na kunoa makucha, Afrika tumejipangaje, au tuendelee tu kula ubwabwa kwenye maisha haya...

Each country fired two ground-to-air missiles in a show of strength after North Korea conducted its farthest-ever missile test, which caused evacuations in Japan.

South Korea and the United States fired four missiles into the Sea of Japan, Seoul said on Wednesday, a day after North Korea launched an intermediate-range missile over Japan for the first time in five years.

The two countries each fired a pair of US-made ATACMS short-range ballistic missiles, according to a statement.

The South Korean military said the launches were a retaliation to Pyongyang's farthest-ever missile test. South Korea's President Yoon Suk Yeol had previously vowed a "stern response" against the North.

Separately, South Korea also launched a Hyunmoo-2 missile that malfunctioned shortly after launch and crashed, causing panic in the city of Gangneung. There were no reports of injuries.

Africa inafuata sera za marekani/UN ya mchongo za kupiga marufuku kutengeneza silaha kali za kujilinda isipokuwa USA na marafiki zake wachache
 
Hamna aliyekuzuia kubuni silaha ukiamua kuacha kuzaliana hovyo kisha uwekeze kwenye teknolijia.
Hili tunalipuuzia ila ndio fatc!! Imagine kila mwaka mnashughulika kuongeza huduma zile zile tangu uhuru kisa ongezejo la watu... lini tutatulia?

Imagine leo tunahangaika na madarasa elf 8 mwaka jana elf 12 na mwakani will be the same story!
 
Nimekusoma vizuri sana
 
Hamna aliyekuzuia kubuni silaha ukiamua kuacha kuzaliana hovyo kisha uwekeze kwenye teknolijia.
Muafrika na kuzaa uwezi mtenganisha. Waafrika tulishalaaniwa unakuta mtu, anamaliza hata mwezi ajaweza pata pesa ya kula nyama, lakini anazaaa ovyo ovyo kama kuku wa kienyeji. Na maisha ya kiafrika unakuta mtu ana maisha mabovu lakini anazaaa watoto nane, mwisho wa siku unakuta kizazi kimedumaaa balaaa, unakuta watoto wamejikunyata kama wanaumwa kumbe ni lishe mbovu. Na unakuta asilimia iyo ya sisi waafrika ndio wanaoshangilia izo nchi za kijamaaa kwa sababu ya upungufu wa kushindwa kufikiri na kuisi ujamaaa ndio suruisho la shida zake. Kumbe shida amezitafuta kwa kuzaaa ovyo ovyo. Kwa maisha ya sasa ivi ukiwa na watoto kazaaa lazima uchapike na ni mzigo kwa taifa, hauwezi kudili vitu vipya kwa sababu maisha yote unakuwa kwy uzazi na ulezi Pia
 
Hili tunalipuuzia ila ndio fatc!! Imagine kila mwaka mnashughulika kuongeza huduma zile zile tangu uhuru kisa ongezejo la watu... lini tutatulia?

Imagine leo tunahangaika na madarasa elf 8 mwaka jana elf 12 na mwakani will be the same story!
Kazi kweli kweli
 
Ubwabwa wenyewe haujatosha ukiiga tembo kunya si na ubwabwa utapotea. Ungetuambia hata corona tungekusikia ila kuzaliana nayo burdani
 
Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari.

Hii dunia mataifa makubwa yanachomoa na kunoa makucha, Afrika tumejipangaje, au tuendelee tu kula ubwabwa kwenye maisha haya...

Each country fired two ground-to-air missiles in a show of strength after North Korea conducted its farthest-ever missile test, which caused evacuations in Japan.

South Korea and the United States fired four missiles into the Sea of Japan, Seoul said on Wednesday, a day after North Korea launched an intermediate-range missile over Japan for the first time in five years.

The two countries each fired a pair of US-made ATACMS short-range ballistic missiles, according to a statement.

The South Korean military said the launches were a retaliation to Pyongyang's farthest-ever missile test. South Korea's President Yoon Suk Yeol had previously vowed a "stern response" against the North.

Separately, South Korea also launched a Hyunmoo-2 missile that malfunctioned shortly after launch and crashed, causing panic in the city of Gangneung. There were no reports of injuries.

Wameshamjibu kibabe kwa kuonyesha uwezo na ubora wa makombola yao, sasa kilichowafanya wakimbilie UNSC ni nini?
 
Each country fired two ground-to-air missiles in a show of strength after North Korea conducted its farthest-ever missile test, which caused evacuations in Japan
Wathubutu kurusha hata risasi moja kwenye kijiji hata kisicho na watu, mumuone Kiduku alivo mpenda shari
 
Back
Top Bottom