Jeshi la Korea Kusini limesema mapema hii leo kwamba limeanza kuondoa vipaza sauti vilivyopo kwenye eneo la mpaka na jirani yake Korea Kaskazini, kama hatua ya kupunguza mvutano kati ya mahasimu hao.
Vipaza sauti hivyo vilikuwa vikitumiwa kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini, lakini...
UTANGULIZI:
Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
asili
balozi
changamoto
friji
ghana
hata
haya
hoja
jamiiforums
kisasa
koreakoreakusini
kuhusu
kuliko
kusini
kuweka
makosa
mjadala
mweupe
nchini
sana
uteuzi
vyakula
waafrika
wenye
Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili tanzu za Samsung mwaka 2015 uliogharimu dola bilioni 8. Uamuzi huo umetupilia mbali mashitaka yote...
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia. Kwa Washington, hii inakusudiwa kuhimiza washirika wake wengine kutia saini mikataba ya biashara...
October 26, 1979 huko Korea Kusini kulitokea kisa cha ajabu cha mkuu wa ujasusi wa shirika la Korea Kusini(KCIA) Kim Jae-gyu kumtwanga risasi mbili boss wake rais wa Korea Kusin Park Chung-hee na bodyguard wake mkuu Cha wakiwa katika hafla ya chakula cha usiku. Inasemekana mzozo wa wawili hao...
Takribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi.
Ukosefu wa wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni unasababishwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa nchini humo...
Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.
Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo...
Samsung, LG, Kia, POSCO na makampuni mengine mengi ya Korea yamelazimika kutathmini upya gharama za kuendesha viwanda nchini Mexico na Kanada, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusisitiza ahadi yake ya kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa nchi hizo mbili za Amerika Kaskazini.
Trump alisema...
Mpo salama!
Huyu jamaa kwa mara ya Kwanza niliangalia picha yake ya Kwanza Miaka ya 2009/2010 huko katika Series Moja iitwayi IRIS. Hapo ndio mwanzo wa kuzipenda na kuanza kufuatilia baadhi ya Filamu za Kikorea. Nikiri wazi kuwa kabla ya kuangalia Filamu ya IRIS sikuwa mpenzi wa Filamu za...
Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli.
Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya sheria za kijeshi ili kudhibiti wakomunisti wa China na Korea Kaskazini kujipenyeza katika siasa za...
Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini
Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
Wakuu,
Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo.
Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
Wizara ya Katiba na Sheria imemwekea Rais Yoon Suk Yeol, zuio la kutosafiri nje ya nchi hiyo kwa maelezo kuwa inachunguza madai ya Uasi yaliyoambatana na Amri ya kuiweka nchi chini y Utawala wa Kijeshi ambayo ilifutwa muda mfupi na Bunge.
Bunge limetaarifiwa kuhusu hatua ya kumpiga marufuku...
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha.
Pia ukiangilia video jinsi...
Salaam Wakuu,
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea walishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).
Mkataba ambao utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za...
Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake
Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni yanayohusika na kura za maoni ili kuonesha kwamba mgombea anayempendelea anaongoza.
Pia ana kashfa ya kuhongwa...
Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !
Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa.
Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
Wadau hamjamboni nyote?
Mvamizi huyo hajulikani ni nani na katumwa na nani na madhara kiwango gani
Taarifa za ndani bado hazijatolewa kikamilifu ila tukio hilo limetokea kweli
Tuwaombee taifa takatifu la Israel
---
Foreign Ministry says property damaged in apparent attack on Israeli embassy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.