kopa

M-Kopa (M for mobile, kopa is Swahili for borrow) is an African connected asset financing platform that provides underbanked customers in Africa to essential products including solar lighting, televisions, fridges, smartphones & financial services. M-Kopa was launched commercially in 2012 and is headquartered in Nairobi. The company is currently operating in Kenya, Nigeria and Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Justine Marack

    Dis - track ya taarab. Iliyomvuruga Khadija Kopa. Utalijua jiji

    Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab. Tukitaka kutenda haki basi Malikia wa Mipasho anapaswa kua bibie. Afua Suleiman. Ukitoka kuelewa huyu Afua nenda sikiliza Wimbo wa Taarab unaoitwa Utalijua...
  2. Teko Modise

    Tigo mnatuchosha na sms za 'Kopa Simu'

    Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu" Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu. Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu. Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa...
  3. T

    Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  4. N

    Maisha ya kukopa kopa na kupiga mizinga watu ni ushamba!

    Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe unanikopa huo ni upumbavu na ujinga! Kumpeleka demu wako picnic nayo unakopa! Kwenda kupigwa miti nayo eti...
  5. RoadLofa

    Kuhusu wito kwenye usaili M-Gas au Kopa Gas

    Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana. Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Mh.Samia kopa mabilioni tugawie kila mtu laki tano-tano

    Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali. Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana...
  7. T

    Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  8. Frumence M Kyauke

    Khadija Kopa atoa ya moyoni kuhusu fununu za mahusiano ya mwanaye Zuchu na Diamond Platnumz

    Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond Platnumz. Hii ni kufuatia uvumi unaoenezwa kuwa nyota hao wawili wa Bongo wanachumbiana baada yao...
  9. Donnie Charlie

    Kuna mtu ameshatumia huduma ya gesi ya kulipa kadri ya matumizi yako?

    Habari, Kuna huduma ya kutumia gas kadri ya kiwango unachoweza kununua kama ilivyo luku, kiufupi pale kwenye mtungi inafungwa digital meter na ina mawasiliano na kampuni husika. Kwa mujibu wao unaweza nunua gas ya elfu kuanzia hata elfu moja na ikikata unanunua tena pia mtungi ukikaribia...
  10. Miss Zomboko

    Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
Back
Top Bottom