Maisha ya kukopa kopa na kupiga mizinga watu ni ushamba!

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,849
Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe unanikopa huo ni upumbavu na ujinga! Kumpeleka demu wako picnic nayo unakopa! Kwenda kupigwa miti nayo eti unakopa huo ni uchizi sana na ujinga.

Yaani nyie majitu kila kitu mnakopa hivi mwanaume mzima maisha yako wewe ni kukopa tu. Hivi mwanaume mzima unaishije maisha kwa kukopa? Huo ni umama na ujinga we mwanaume ni kupambana na maisha sio kumtegemea mwanaume mwenzako kumpiga mizinga huo ni umama mtaveshwa Madera.

Acheni kupiga mizinga nyie wanaume huo ni umama na ushama yaani shida ni ya kwako halafu unaanza kusumbua watu wengine badilikeni.
 
Hii tabia ina nikera sana yani kama mtu anakujua ukimkopa ndio nitolee
 
Hii tabia niliiona back then in my drinking days. Unatembeza rounds mpaka kieleweke afu bado mtu anataka akupige kizinga.

Oh mara nyumbani sikuwaacha poa, mara nyumbani hawajala, mara narudije home.... wtf. Nimekukuta unakula good times, na mm nimekuja kula good time pia. If your home is not okay unatoa wapi guts za kuwaacha na kuja kuenjoy?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom