Mwalimu mwenzangu nakushauri kopa

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
476
1,454
Nimekuwa mwalimu sasa ni miaka 9, nimejifunza mambo mengi Sana kuhusu Ajira za serikali ( TAMISEMI), kikubwa nilichojfunza Ajira ni gari inayokupeleka kwenye umaskini hasa ukiwa na akili ndogo, mikosi na mwoga, na Ajira ni chanzo cha maisha mazuri ukiwa na akili kubwa na mwenye bahati.

Nimeajiriwa Kwa mara ya kwanza 2014, nilipoajiriwa na kuwambia home nimepata ajira as mwalimu Kila mtu aliona kama nimechanganyikiwa (ukizingatia nilikuwa nimesoma Sheria) . Mimi kuwa mwalimu ni mamuzi yangu hakuna hata mtu kwenye familia aliyeniunga mkono, hata aliyekuwa mchumba wangu alinipiga chini , manzi alikuwa injinia alitegemea nitakuja kuwa wakili mkubwa, halafu anasikia namwambia nimesoma postgraduate ya ualimu na Sasa nimekuwa mwalimu hapa Hapa home, nilishamsamehe na uzuri amekuwa akija likizo sijui ananionaje Kwa Sasa, japo Mimi sijawahi kuwa na hofu Naye, ninauhakika naweza mlipa yeye na kulea familia yake maana nasikia mumewe ni banker hapo CRDB.

Baada ya kuanza KAZI nilichokikuta Kwa walimu hakijawahi nishawishi,mwalimu anakopa anajenga, mwalimu anakopa ananua gari , yaani walimu wengi ni maskini waliochangamka.nilifanya KAZI Kwa miaka minne bila mkopo, nilikuwa naisoma ramani, pressure niliyokuwa napata toka Kwa walimu, ndugu na marafik ilikuwa ngumu Sana.

Hadi mara ya mwisho nakopa, nakumbuka nimekopa milioni kama Kumi (nmb) then nakaitupa yote kwenye mifugo, thanks ilinilipa( moja ya miradi yangu ni ufugaj wa ngombe wa maziwa ), nimekopa mwaka Jana December Tena (Absa) nimeingiza shambani Tena thanks imelipa Sana safari hii, ninachokatwa kwenye mikopo na ninachokipata per months ni mara sita( sipo hapa kujisifia ila nawashauri walimu kopa kopa, Kazi hizi za TAMISEMI zikufanya maskini, nakushauri mwalimu kopa kopa, peleka kwenye miradi, hata ukiambiwa kazi huna usijechenganyiikiwa) mwalimu huna fursa nyingine zaidi ya mikopo, tumia muda wako kufanya miradi yako inalipa, ) nayashudia haya Kwa sababu nimeona walimu na watumshi wengi wapo frustrated Sana na maisha,ila ukitazama sababu wengi wamefanya mistake ya aina Moja kukopa kujenga, kukopa kununua gari aisee hii njia ni kama njia ya mayumbu unaona mwenzako anaosota, then you do the same mistake
 
Nimekuwa mwalimu sasa ni miaka 9, nimejifunza mambo mengi Sana kuhusu Ajira za serikali ( TAMISEMI), kikubwa nilichojfunza Ajira ni gari inayokupeleka kwenye umaskini hasa ukiwa na akili ndogo, mikosi na mwoga, na Ajira ni chanzo cha maisha mazuri ukiwa na akili kubwa na mwenye bahati.

Nimeajiriwa Kwa mara ya kwanza 2014, nilipoajiriwa na kuwambia home nimepata ajira as mwalimu Kila mtu aliona kama nimechanganyikiwa (ukizingatia nilikuwa nimesoma Sheria) . Mimi kuwa mwalimu ni mamuzi yangu hakuna hata mtu kwenye familia aliyeniunga mkono, hata aliyekuwa mchumba wangu alinipiga chini , manzi alikuwa injinia alitegemea nitakuja kuwa wakili mkubwa, halafu anasikia namwambia nimesoma postgraduate ya ualimu na Sasa nimekuwa mwalimu hapa Hapa home, nilishamsamehe na uzuri amekuwa akija likizo sijui ananionaje Kwa Sasa, japo Mimi sijawahi kuwa na hofu Naye, ninauhakika naweza mlipa yeye na kulea familia yake maana nasikia mumewe ni banker hapo CRDB.

Baada ya kuanza KAZI nilichokikuta Kwa walimu hakijawahi nishawishi,mwalimu anakopa anajenga, mwalimu anakopa ananua gari , yaani walimu wengi ni maskini waliochangamka.nilifanya KAZI Kwa miaka minne bila mkopo, nilikuwa naisoma ramani, pressure niliyokuwa napata toka Kwa walimu, ndugu na marafik ilikuwa ngumu Sana.

Hadi mara ya mwisho nakopa, nakumbuka nimekopa milioni kama Kumi (nmb) then nakaitupa yote kwenye mifugo, thanks ilinilipa( moja ya miradi yangu ni ufugaj wa ngombe wa maziwa ), nimekopa mwaka Jana December Tena (Absa) nimeingiza shambani Tena thanks imelipa Sana safari hii, ninachokatwa kwenye mikopo na ninachokipata per months ni mara sita( sipo hapa kujisifia ila nawashauri walimu kopa kopa, Kazi hizi za TAMISEMI zikufanya masking, nakushauri mwalimu kopa kopa, peleka kwenye miradi, hata ukiambiwa kazi huna usijechenganyiikiwa)
Hongera sana, kila mtu na bahati yake. Bahati yako ilikunyokea.

Mwingine anaweza kusema apite njia yako ila atakachokikuta kule itakuwa breaking news.

Tusiache kupeana hamasa lakini tukumbuke kila mtu na bahati yake, pia tusiache kujaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom