kongamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa, Shaka Hamdu Shaka kwenye kongamano Arusha

    BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI. #KaziIendelee #ChamaImara #SamiaMpangoMzima. End.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi kwenye kongamano la Machi 19, Arusha

    ARUSHA NA 365 ZA SAMIA. Tunasheherekea ujenzi wa Tanzania Mpya yenye furaha, matumaini na isiyo na hofu ikiambatana na ukuzaji wa uchumi wa Nchi pamoja na uimarishaji wa huduma za kijamii. Hakika kazi kubwa imefanyika na kazi iendelee. #365zaSamia #ZamuYaArusha #TukutaneMachi19
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini

    Jana Jumamosi Februari 19, 2022 Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Mwenda na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Madini wa ndani ya Wilaya na kutoka Makao Makuu huku Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

    Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula. Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Diaspora waanza kupanda ndege ili kuwahi Kongamano la miaka 60 ya Uhuru lililoandaliwa na CHADEMA

    Mmojawapo ni huyu anayeitwa Rehema Mugogo , ambaye tayari ana tiketi mkononi ili kuwahi Kongano hilo lililo gumzo kote duniani , litakalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni nje ya Jiji la Dar es Salaam .
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima kumwakilisha Rais Samia kwenye Kongamano Nchini Urusi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kongamano la uwekezaji katika sekta ya misitu kufanyika Iringa Novemba 10 - 12

    Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuzuia kivuko kufanya kazi, Kongamano la Katiba Mpya lafana Ukerewe

    Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo. Bavicha inaendelea na makongamano nchi nzima kama ilivyopangwa . Hapa ni Ukerewe , 10/10/2021
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  11. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

    Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  14. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

    Hawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia. Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji Pombambili wafanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi

    Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG. Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi. Kwa kweli wameumizwa sana
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Mwenda ashiriki kongamano la wakulima

    MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuwaeleza wadau wote kuwashirikisha wakulima wengi zaidi katika...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tuliwazuia kufanya Kongamano, wameamua kuelekea kwenye nyumba za ibada ambayo ni haki ya kikatiba pia

    Kwenda kanisani kufanya Ibada Ni haki ya kikataba ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Wanaotaka katiba wamenyimwa kufanya makongamano, bila kuathiri Hali ya usalama wameamua siku ya ibada wavae t-shirt zao za kutaka katiba mpya. Naamu waumini wameamua kufanya t-shirt za katiba mpya kuwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
Back
Top Bottom