Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.
Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia...
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.
Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC
Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa...
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto watano kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushiriki Kongamano la nane la dunia la watoa huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto linalofanyika nchini Marekani.
Kongamano hilo linatarajiwa kuanza tarehe 28 agosti hadi 3 septemba...
Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli.
Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA.
Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
Leo Mei 3, 2023 ni siku ya tatu ya Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani linalofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar, mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi.
VIONGOZI WAWASILI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed...
Siku ya Pili, Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mei 2, 2023 Zanzibar, Kongamano hili linafanyika wenye Ukumbi wa Golden Tulip.
Mjadala unatarajiwa kuanza muda si mrefu kutoka sasa...
BAKARI MACHUMU: MAGAZETI YALIANZA KUWA NA HALI NGUMU HATA KABLA YA...
TAMWA WATOA NENO
Baada ya mgeni rasmi kuwasili ukumbini, Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Joyce Shebe amemkaribisha na kutoa neno la ukaribisho.
Anasema: Tunafahamu kuwa hali ya uhuru habari wa kujieleza kwa vyombo vya habari nchini umeimarika na tunaona jitihada...
Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani?
Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli.
Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb.
Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa.
Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.