kodi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye TATHIMINI ya Kodi za TRA Kwa magari yanayoagizwa Toka nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo maalum la kufanya TATHIMINI Kwa pamoja ktk magari used yanayotoka nje ya nchi katika Kodi za TRA pekee, Bei halisi za magari nitazitoa katika official website ya beforwad na Kisha kufanya evaluation au TATHIMINI Kwa kiswahili Karibuni Asante 8686153806
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamependekeza Serikali kuandaa Sera moja ya kodi ili kutoa mwongozo wa masuala yote ya Kodi Nchini

    WABUNGE Wamependekeza Serikali Kuandaa Sera Moja ya Kodi ili Kutoa Mwongozo wa Masuala Yote ya Kodi Nchini. - Akisoma maoni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Fedha mwaka wa fedha 2024/2025, pamoja na maoni ya kamati kuhusu makadirio ya mapato na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchechu: Ofisi ya Msajili wa Hazina ina shauku ya kukusanya Sh Trilioni 1 kama mapato yasiyo ya kodi katika Mwaka wa Fedha wa 2024/25

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200. Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu wanaikosesha serikali mapato halali ya kodi

    Wakati wa utawala wa JPM aliwahi kuwashukia baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu kwa kusababisha serikali kukosa mapato yake halali yatokanayo na kodi. Aliwaambia ana kwa ana kuwa wanahusika katika kutoa mahesabu yaliyokaguliwa ya aina mbili. Seti ya kwanza ya mahesabu yaliyokaguliwa ni...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kuanzishwe Kodi mpya ya Kusanyiko la watu

    Habari Tanzania !. Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU". Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bora kuishi karibu Kwa Kodi kubwa, ama mbali Kwa nauli kubwa

    Unakuta mtu anafanya kazi au biashara Kariakoo lakini anaishi Kibaha, Bunju, Kitunda, Vikundu, Vingunguti n.k ambapo ukimuuliza anakwambia kule vyumba bei nafuu labda elfu 50k, lakini ukimshauri alipie 200k chumba maeneo ya karibu labda Magomeni, Kinondoni, Fire n.k anakataa anasema ni gharama...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  10. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

    Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo (This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini ushukuru au uombe kujengewa Barabara, Shule au Kisima na Serikali kama kodi na Rasilimali zenu ndo zinazozalisha hiyo hela?

    Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo wananchi wanalazimika kuandika barua, kuomba kwa wanasiasa au hata kuandamana ili kupata huduma za msingi...
  13. Royal Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya Operesheni ya utekelezaji hiyo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM acheni kujihujumu wenyewe, acheni kukamata walipa kodi

    Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ombi la posho zenu zisikatwe kodi tumelisikia na tutalifikisha kwa wahusika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepokea ombi la wafanyakazi wa umma la kutojumuishwa kwa posho za wafanyakazi katika makato ya kodi na kuahidi kulifikisha suala hilo kwa vyombo husika vinavyoshughulika na masuala la mapato. Ombi hilo liliwasilishwa na Katibu Mkuu Shirikisho la Vyama...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ukiweka bango mbele ya duka lako unadaiwa kodi, ukiweka speaker kubwa hudaiwi kodi

    Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Urekebu wa Sheria wagharimu Tsh 10 bilioni za walipa kodi. Kwa maneno ya Rais naona hakuna tatizo somewhere

    Nanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”. “Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini...
  19. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyumba vitatu(3) kodi tshs.500,000/mwezi, Sinza-E

    ...
  20. Cainan

    JamiiForums Tanzania Kuagiza Lorry kama spare kutoka nje ya nchi ili kupunguza makali ya Kodi

    Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja...
Back
Top Bottom