Pendekezo: Kuanzishwe Kodi mpya ya Kusanyiko la watu

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,436
Reaction score
1,627
Habari Tanzania !.

Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".

Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.

Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.

NB

Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.

Ahsante.
 
Idea yako haina tofauti na kujaza Maji kwenye tenga.
 
Ni kinyume na Katiba; atakuja mwingine apendekeze kodi ya kusafiri,
 
Habari Tanzania !.

Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".

Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.

Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.

NB

Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.

Ahsante.
Sidhani kama sheria na taratibu za kodi unazielewa vema
 
Pia ianzishwe kodi mpya kwa viongozi wasagaji kwa kadiri cheo kinavyokuwa kikubwa na kodi yenyewe iwe kubwa.
Kwa sa100 serikali itavuna mipesa mnoooooo
 
Habari Tanzania !.

Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".

Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.

Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.

NB

Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.

Ahsante.

Kuna time unaweza kusema kuwa mwafrica ni Laana
 
Tutaanza na kodi la Mpira wanaojaa uwanjani, kodi ya Sho za Zuchu, kodi la standup commedy na kodi ya Diwani wa ccm akihutubia
 
20230625_195143.jpg
 
Kwamba tukikusanyika kupiga kura tulipe kodi kwanza?
 
Habari Tanzania !.

Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".

Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.

Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.

NB

Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.

Ahsante.
Sawa wazo lako watalikubari. Kisha watumie akili kama yako kuweka kodi ya kupumua.
 
Tumepata uhuru mwaka 1961 hata mtoa mada baba yake hajazaliwa.Enzi ya mkoloni ilikuwa hairuhusiwi kutembea zaidi ya watu watano au kukusanyika zaidi ya watu watano.
Leo anatokea mtu anataka hii sheria irudiwe.
Ukisema hivyo watu wa kwanza kuivunja ni CCM maana hawatafanya vikao
 
  • Thanks
Reactions: K11
Habari Tanzania !.

Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".

Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.

Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.

NB

Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.

Ahsante.

Siku hizi kuna kozi ndogo ndogo za online ambapo kwa hilo bundle lako unaweza kujisomea tu;
Mfano: Ungeanza kwanza kutafuta kodi ni nini? Inastahili watozwe watu gani? wapi na kwa sababu gani?
Ukishajua hayo yote; utajua namna ya kupendekeza vyanzo vipya vya kodi...
 
Back
Top Bottom