kodi

  1. bro alex

    JamiiForums Tanzania Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

    Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari. Kwishaaa Bro Alex on la...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa 2050 haina makadirio ya uwiano wa kodi itakayokusanywa kwa mwaka 2050

    Naendelea kusoma Dira ya Taifa ya 2050 ambayo inazinduliwa leo. Jambo moja la msingi ni wapi tunapata hela za kutekeleza yaliyomo kwenye dira. Dira imeelezea masuala ya kodi na moja ya matarajio ni kuwa na uchumi jumuishi utakaoongeza uwiano wa makusanyo ya kodi na pato ya taifa. Uwiano wa kodi...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mikopo ni Kodi iliyohairishwa. (Wajukuu zetu ndio Wanatulisha i.e. Watatulipia Madeni)

    Ni katika kukumbushana..., tusije kuwaachia urithi wa kutulipia kile tunachokitumia leo, Ikiwezekana tutafute mbadala; kama kesho tutaweza kulipa kwa kukamuana kwanini uwezo huo wa kulipa kesho tusiutumie leo kufanya tunachofanya ...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokusanya Kodi inaweka AKIBA?

    Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA? Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwasababu wanapenda kuonyesha kuwa wao ni wababe, sitashangaa kuona makanisa na misikita vinaanza kutozwa kodi

    Kwa akili zao za hawa watu, sitashangaa kuona mapato katika nyumba za ibada( Misikita na Makanisa) na shughuli zote zenye kuhusisha makanisa na misikita ambazo awali zilikuwa hazitozwi kodi, sasa zikaanza kutozwa kodi. Kama itabidi kubadili sheria, kanuni au mikataba, watafanya hivyo ili tu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inavyoibiwa Kodi kwenye Vilemu vya Uchimbaji Madini (hasa Malera, Nyamongo) Ofisi ya Madini ikihusika moja kwa moja!

    Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kodi emu tupeni elimu

    Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Tanzania, nchi zinazowafikiria wananchi wake hazikati kodi kamili kwenye gawio (dividends) na marupurupu ya mshahara (benefits)

    Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu. Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yajibu hoja ya Mbunge "Kuondoa sharti la kulipa kodi kabla ya kuanza biashara"

    Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya DENI LA MAMA Kufikia T 107 , Rais kaja na Gia ya 'Tulipe Kodi huko nje mashariti magumu", Ukweli ni kua DENI libakaribia Kufikia !!

    Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!. Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Ameongezewa Kodi ya mapato Kutoka 100,000 mpaka 700,000

    Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi? Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano; 1. Unashindwa kujifanyia self assessment. Hapa mamlaka ya mapato wanaamua kukukadiria wao wenyewe. 2. Unachelewa sana ku...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza kodi kwenye Betting

    Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa bima ya...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mary Baine ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF)

    03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine anachukua nafasi ya Bw. Logan Wort, ambaye ametumikia kama Katibu Mtendaji wa ATAF tangu kuanzishwa...
Back
Top Bottom