kodi

  1. JamiiForums Tanzania Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

    Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

    Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Kodi ni lazima ikusanywe, hakuna nchi yenye nafuu ya Kodi

    Nimeona wengi wakipiga miluzi kuhusu Kodi zilizoongezwa hasa kwenye Luku, miamala ya simu, kadi za simu na kwenye mafuta (petrol na diesel). Ilikuwa bado kidogo tu na Mimi niingie mtego wa makamanda kwenye kulalamika. Kwanza kwanza kabisa yapaswa ieleweke kuwa hakuna nchi duniani inaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Tax and financial consultation services

    Habari zenu wakuu, Mimi ni binti ambaye nilikua nimeajiriwa kama mhasibu kwa takribani miaka mitano. Nimejifunza mengi katika nafasi hiyo ya uhasibu kwa sababu kampuni niliyokua naifanyia kazi ilikua ni consultation company hivyo tulikua tunafanya kazi za kampuni tofauti tofauti hivyo nikapata...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
  8. JamiiForums Tanzania Kodi kwenye Vocha na Miamala inaumiza Wananchi, ingeongezwa kwenye vinywaji

    Nawasalimu kwa salamu ya mama. Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza. Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk? Hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

    Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ijikite kukusanya kodi, iachane na mikopo ya kubembelezewa na Benki ya Dunia kuhusu COVID 19

    Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo. Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

    Huyu binti ambaye niliwahi kuleta taarifa yake ya kuninyima mzigo licha ya kulala kwake siku 2. Wadau walitoa maoni yao nikawaelewa. Nikambana kwanini alifanya vile akasema ni woga tu( nahisi ni bikira). Nikaendelea naye chatting and so. Kaniomba nimwongezee pesa alipie chumba nikampa ahadi...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba tatu zinampatia kodi ya 3,500,000/=

    Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha. Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani...
  13. JamiiForums Tanzania Hili sio Bunge bali ni 'genge la watafuna kodi za wananchi'

    Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
  14. JamiiForums Tanzania Makadirio ya kodi kama CIF ni tofauti na Calculator ya TRA

    Habari wakuu, Nimeona gari beforward nimependa na nataka kuagiza. Ishu inakuja sasa gari CIF yake ni 3585 USD lakini TRA wao wame calclualte kwwa CIF ya 2709USD. Hapo calculation ya mwisho itakuwaje wakati wa kuitoa bandarini.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa

    "Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka --- Anaandika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Polisi barabarani dhidi ya walipa kodi ni hujuma isiyo na afya kwa Taifa

    Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele. Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

    Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani na wabunge walioacha nafasi zao na kurejea CCM walilipwa mafao kamili kwa kodi za Serikali?

    Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono. Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hofu ya Serikali kupunguza kodi ya uingizaji wa magari inatokana na hofu ya ukosefu barabara za kutosha kwa jiji la Dar-es-Salaam

    Binafsi siamini kuwa serikali hii ya sasa, kama ilivyokuwa kwa serikali zilizopita, hawaelewi kuwa ukipinguza kodi ya kuingiza magari nchini, watu wengi zaidi wataagiza magari na hivyo kuiongezea zaidi serikali mapato, bali naamini wanahofia miundombinu ya jjji kuzidiwa na wingi wa magari ila...
  20. JamiiForums Tanzania Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

    Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…