kodi

  1. Suala la Wabunge kukatwa kodi si la kupuuza

    Kuna mambo kama hatuwezi kuyakomalia basi hata mengine tuachane nayo. Maana yake hatujui tunataka kufika wapi! Suala la wabunge kukatwa kodi si la kupunguzia sauti. Si kwa mapato ya taifa tu bali pia kwa kuweka misingi bora ya elimu ya kulipa kodi. Hivi mbunge anaombaje miundombinu na huduma...
  2. Dkt. Nchemba: Ukwepaji wa kodi liwe jambo la aibu

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ipo haja kwa watoto wadogo kuanza kuelimishwa juu ya umuhimu wa kulipa kodi ili watoto wakue wakijua kwamba ukwepaji wa kodi ama upokeaji na utoaji wa rushwa ni jambo la aibu katika familia. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu...
  3. Hili la wabunge kutolipa kodi linatafakarisha na kuchefua

    Wasalaam, mfanyakazi wa kawaida analipwa kima cha chini 370,000 na anakatwa kodi asilimia 9 lakini Mbunge analipwa mamilioni na hakatwi kodi hii sio sawa Serikali ya CCM mnanyonya maiti damu.
  4. Mishahara mikubwa na matumizi ya gharama ya Viongozi na Wabunge ni sababu ya Wananchi kutolipa kodi

    Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu...
  5. Kwanini wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo?

    Swali la kipima joto la leo Ipi haja ya kuwepo kwa TRA kama wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo. Je, kuna haja ya kuendelea kusomesha watanzania shahada za mambo ya kodi (Taxation)? Je, fedha za kuwalipa hao wanaoelimisha zinatoka kwenye mfuko upi? Je, kwanini...
  6. Wabunge wanataka kodi za wanyonge ili wakajilipe Posho na Mishahara minono

    Nchi imekuwa ya kusadikika kweli, kila siku wanabuni mbinu mpya ya kuwakamua wasiojiweza, wenye uwezo mdogo wa kuendesha maisha yao ili matumbo yao yaneemeke. Baada ya kubuni mbinu za kuwainua wananchi ili wapate walipa kodi wengi wao ndio wanazidi kuwakamua na kuwatia umaskini Wawakilishi...
  7. Wakati Bunge la Kenya likipinga Mzigo wa Kodi kwa Wananchi, Bunge letu wanapitisha kwa kishindo

    Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa. Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko. Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa...
  8. Yahusu Mabalozi wa kuhamasisha kodi

    Niliwahi kuandika kuhusu huyu Waziri wa Fedha anajiitaga mchumi wa daraja la kwanza! Huyu ni miongoni mwa mawaziri ambao ni mzigo kwa Watanzania! Leo Bwana Mwigulu akiwa Bungeni amewatangaza watu watatu kuwa mabalozi wa kodi, Mobeto, Samata na Edo Kumwembe. Sasa twende taratibu, tatizo la kodi...
  9. Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa. =========...
  10. Dkt. Mwigulu: Tunapendekeza kuanzisha chombo cha usuluhishi wa masuala ya kikodi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watapendekeza kuanzisha chjombo cha msuluhishi wa masuala ya kikodi ili kuepuka kero zilizopo. Mwigulu amesema hali ilivyo kwa sasa mtu akifanyiwa makadirio ya kodi na asipokubaliana nayo, analazimika kumfuata huyohuoyo aliyemkadiria...
  11. M

    Simba na yanga walipishwe kodi

    Kwa Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango.Kwa kuwa vilabu hivi viwili yaani Simba na Yanga (Young Africans) ni vilabu vikubwa vya mpira wa miguu tena vina wapenzi kwa mamilioni nazo zitozwe kodi kama biashara zingine zozote. Mpira ni biashara ndio maana wanaoingia kuwatazama wanalipa viingilio...
  12. Wahariri wahoji ongezeko la kodi kugharamia miradi isiyo na tija

    Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti ya Serikali. Wakizungumza leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika mjadala wa uchambuzi wa bajeti ya...
  13. S

    Napendekeza tukatwe kodi ya Tsh 50/= kwa kila kilo ya mchele na unga wa mahindi/ngano badala ya laini za simu

    Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka. Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla. Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi...
  14. Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  15. S

    Mwigulu Nchemba, Mnalofanya Serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za kodi na mnadhani Watanzania hawaelewi

    Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
  16. Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  17. Mwigulu: Kodi Mpya kwenye mafuta mwarobaini wa tatizo la barabara Vijijini

    "Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta" Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
  18. P

    Rais Samia hapendi kodi na mali za dhuluma; vipi kuhusu viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Moja kwa moja kwenye mada. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama yetu mama Samia Suluhu Hasani amjipambanua na kweli ukimuangali usoni unaona kabisa kuwa mama hapendi mambo ya dhulma ikiwemo kodi. Hoja yangu ni juu ya mali ilizojimilikisha...
  19. Rais, Majaji na wote wasiokatwa kodi kwenye mishahara yao ni muda muafaka nao waanze kulipa kodi

    Kama kulipa kodi ni uzalendo, basi rais wa nchi ndiye anayepaswa kuwa mzalendo namba moja. Kama Tanzania ni nchi ya Usawa, basi haiyumkiniki wawepo watu katika nchi hii wawe ni wavuja jasho, wanaokamuliwa kodi kwenye mishahara yao lakini kuna jingine la watanzania haohao mfano rais na Majaji...
  20. Anne Kilango Malecela: Kuna mkanganyiko kwenye suala la kodi ya majengo. Ieleweke anayelipa ni nani

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!" Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…