kodi

  1. Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

    Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo. Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4. Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa...
  2. G

    Kodi ya majengo ya ghorofa ni dhulma, haikubaliki

    Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu. Thamani ya jengo la jirani...
  3. Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  4. Ongezeko dogo katika kodi ya majengo (property tax)

    Taken somewhere !
  5. TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

  6. Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  7. Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  8. Kama umesoma kwa kodi za Wananchi na unapotosha wananchi hao kwa masilahi binafsi unajisikiaje?

    Nimekaa sehemu nimesikiliza professor mmoja mmbobezi wa somo la Development studies kwa kifupi DS. Akijikita kuwaeleza wananchi ambao tayari wananchi hao wana mkataba huo mbovu mkononi. Kuwa mkataba huo waliyoushika mkononi unatija wakati ni mbovu. Mimi binafsi naona ni usaliti ubinafsi...
  9. Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  10. R

    Dkt. Slaa: Rais unapoajiri watu wako hatutaki uajiri machawa wanaotumia kodi zetu

    Dkt. Slaa akiwa anazungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 12, 2023 asema, Rais anapoajiri watu wake hatutaki uaajiri machawa ambao wanatumia kodi zetu. Akiongeza kuwa kila siku Rais unatupandishia Tozo kwenye simu, bei ya vyakula na kila kitu na kwenda kulipa...
  11. M

    SoC03 Wafanyabiashara wanakerwa usumbufu wa taasisi za umma. Kisa kodi na tozo

    WAFANYABIASHARA WANAKERWA USUMBUFU WA TAASISI ZA UMMA. KISA KODI NA TOZO. Wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza wafanyabiashara wa Kariakoo, Mwezi Mei 2023 Mkoani dar es salaam, Kulikuwa na Malalamiko Mengi kuhusu Utozaji, Ukusanyaji na Aina za Kodi, tozo au Ushuru. Katika Maelezo...
  12. Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
  13. SoC03 Mtanzania afutiwe Kodi za Ardhi na Majengo

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
  14. Kabla ya kuwaleta DP World turekebishe kwanza sheria za kodi

    Toka hili sakata la Bandari liibuke nilikaa kimya kwanza nitafute facts za kutosha ndo nitoe maoni yangu. Wengi wenu mmekuwa mkinisumbua kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hili lakini sikujibu chochote hadi leo nilipoona ni muda sahihi. Niwakumbushe tu kuwa baadhi ya maoni yangu huwa yanakuwa...
  15. TRA kubomoa Duka usiku na kuondoka na bidha kisa Kodi, ni Ujambazi

    Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo. Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
  16. Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

    Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili? Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
  17. N

    Rais Samia ushauri wangu kwenye kodi ya magari

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, Naomba kutoa ushauri wangu kwenye ushuru wa magari. Nimeona ushuru wa magari unazidi kuongezeka, Mhe Rais/Waziri wa fedha dunia inabadilika kwa haraka sana, Magari ya kutumia umeme EV yanakuja kwa haraka sana na ni jambo lisilozuilika kwa...
  18. Prof. Shivji: Mikataba ya Bandari na Dubai inayokuja itakuwa Siri na haitapelekwa Bungeni

    "DP WORLD wakipata faida huwezi kuwatoza kodi lakini pia hakuna kifungu chochote (katika mkataba wa bandari) kinachozungumzia revenue sharing (mgawanyo wa mapato), kama nchi itafaidika vipi?" Prof. Shivji "Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu...
  19. O

    Bajeti 2023/24 yapita na kodi za maumivu

    Licha ya wabunge na wadau kwa wiki nzima kubainisha maumivu yanayoweza kujitokeza kutokana na nyongeza ya ushuru na tozo kwenye bidhaa muhimu, Serikali imetetea tozo hizo na bunge kuamua ziendelee. Bidhaa ambazo zitakumbana na kodi hizo ni petroli, dizeli, saruji, mafuta ya kula, ngano na...
  20. Mbunge Ndaisaba aishauri Serikali kuhusu makato ya kodi kwa wawekezaji Madini

    "Badala ya kutuletea Kodi ya Mapato ya 2% tuwekeeni ya Asilimia 1 mtujaribu kwanza wachimbaji wa madini tuone kama inatekelezeka hii 1% kwanza mkileta asilimia mbili watu wataona ni kubwa na matokeo yake watu wataanza kupitisha madini kwenye njia za panya" - Mhe. Ndaisaba Ruhoro, Mbunge wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…