Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA
https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC
~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa.
Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri.
Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
Someni wazo mtoe maoni yenu!!
Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana cha mapato.
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya Mahusiano na Unyumba, imebaini kuwa pesa...
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa.
Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️
Huduma zetu ⚖️
1. Ushauri WA kodi
✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March)
✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December)
✓ Ukaguzi WA kodi
✓ kufanya mapingamizi ya KODI
✓ kusajili VAT
2. Huduma nyinginezo
✓ leseni za biashara...
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia.
Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
TRA msipitwe na gari la mshahara
TRA kataeni siasa chukueni Pesa
TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa
Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao.
SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka.
Nimekuandalia E-book inayoitwa...
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini
Kodi zimeshuka?
Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.