Wapo waliokuwa wakisema kuwa mashindano ya FIFA Club World Cup hayana mvuto. Lakini je, kauli hizo zilianza kabla au baada ya Chelsea kutwaa ubingwa na PSG kupoteza?
Ikumbukwe kuwa kupitia mashindano haya, Chelsea imevuna kiasi cha dola milioni 50, huku mashindano yote yakihitimishwa kwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimeipata kwa Micky wa Ghana.
🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍
✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!
🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
2025/26
2026/27
2027/28
📌 Iwapo timu itashinda...
Mimi sio mshabiki wa Murtaza Mangungu na simpendi kabisa kabisa, kwa sababu hana lugha nzuri, hata sijui kwa wananchi wake jimboni pale Kilwa Kaskazini anawajibu kama anavyowajibu wanachama, viongozi na mashabiki au vip.
Najua kesho Mangungu atakuwa Kilwa kuchukua fomu, tumuombee kwa mungu...
Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu.
Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, kwa kufanya sajili kubwa msimu huu.
Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC.
Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi.
"Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
Tuwe Wakwelii...
Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal.
Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili:
Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
26 May 2025
Liverpool , Uingereza
Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool.
Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia gari kugonga umati wa watu waliokuwa wamejitokeza kusherehekea ushindi wa klabu ya mpira wa miguu...
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita.
Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA
Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
boti
hawana
haya
itakuwa
klabuklabu ya simba
kupigwa
kwenda
laana
lazima
mashabiki
mechi
milele
mpaka
mungu
nauli
radhi
simba
uwezo
wewe
yakubali
yathibitisha
zanzibar
Katika kuungana na dunia kusherehekea Siku ya Mama Duniani Jumapili hii Mei 11, 2025, klabu ya AC Milan imeendeleza utaratibu wa wachezaji wake kuvaa jezi zenye majina ya Mama zao mgongoni badala ya majina yao kama ilivyozoeleka.
Wachezaji wa AC Milan kwa mara nyingine walivaa jezi hizo dhidi...
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
Kimsingi, hauwezi kumuadhibu mtu au taasisi kwa sheria au kanuni ambayo haipo.
Kwenye sakata la derby ya Yanga vs Simba ambalo tumekuwa nalo kwa miezi kadhaa sasa, imetuonyesha mapungufu ya kanuni mbalimbali za uendeshaji wa ligi na adhabu zake.
Tukiacha yote hayo, moja ya mapungufu makubwa ni...
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka...
Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya Mechi kuwa 2-1 katika dakika ya 90+3 kisha akaonekana kushangilia kwa furaha baada ya Vipers...
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano.
Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni;
"Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi wengi ili viweze kusaidia kutoa elimu pamoja na michezo yote itumike katika kutoa masuala ya kuelimisha...
Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026.
Ushindi huo wa Yanga unaifanya kufikisha alama 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote, isipokuwa Simba...
NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.