Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021.
Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi?
---
Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images
Nothing less than a revolution against the Pep...
Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka Manchester City msimu wa joto. (Daily Star on Sunday).
Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah...
Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamatwa kwa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya kiwanja cha gofu cha klabu ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro na kuwekwa ndani kwa madai ya kutolipa Sh26 milioni za kodi ya ardhi tangu mwaka 2013.
Pia, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Sura maarufu sana na iliyozoeleka
Nimeikuta hiyo picha sehemu nikaona itapendeza nikiwaletea na nyie muione japo sina uhakika na usahihi wa sura na hiyo jezi
Naambiwa huyu mwamba kumbe asili yake ni Mahuta Newala Mkoani Mtwara
Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini.
Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.