kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BB_DANGOTE

    Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

    Habari Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea, Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John, Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
  2. MamaSamia2025

    Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  3. Mhafidhina07

    Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
  4. FourTwoNet

    Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

    Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
  5. Mr Beach Boy

    Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    Naomba tumia busara kunijibu Mimi Nina shahada yangu safi TU. Nina a lot of busines idea. Ila changamoto kubwa ni mtaji Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata...
  6. Top Gun

    Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  7. Mr Beach Boy

    Zanzibar kuna wazungu wengi mno, nipeni mbinu za kupata jimama a.k.a lishangazi la kizungu

    Serious kabisa nitumie njiia Gani kupata jimama la kizungu hata 50's Six part na fluent English Tayari ipo
  8. sonofobia

    Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  9. nzalendo

    Stori za babu wa kizungu

    Ati kwamba kulikuwa na dunia nyingine ambayo ilikuwa sambamba na dunia yetu hii,,,, zamani hizo dunia yetu ilikuwa na wale mijusi wakubwa na sisi tulikuwa katika hiyo dunia nyingine Pia namna ya usafiri kwa njia za anga ulikuwa ni kutumia aina ya ndege hai wakubwa kuvuka toka dunia hii mpaka...
  10. H

    Elimu ya Kizungu/Kiarabu i.e:uislam /ukristo haziwezi kamwe kumkomboa Mwafrika KIFIKIRA

    Hili liko wazi na halipongiki. Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao...
  11. H

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu? Ujinga ukizidi ni dhambi!!
  12. Planet Data bundles

    Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
  13. Morning_star

    Kifikra, kimawazo na kiakili, mwanamke wa kizungu yuko juu sana na wabantu

    Kwa uzoefu wangu wa marafiki zangu waliodate na kuoa wazungu (japo mimi sijawahi) lakini nimethibitisha kwa wale waliowahi kuwaingia ni kwamba: mwanamke wa kizungu mkielewana na kukukubaliana kamwe hawezi kuchepuka! Muda wate atakuwa pale kwa ajili yako kwa sharti moja tu "na wewe uwe pale kwa...
  14. mdukuzi

    Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  15. and 998 others

    "Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

    1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili. 2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha...
  16. Al maktoum

    Kizungu, Kizungumkuti na kizunguzungu!

    Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo. Nina swali gumu sana naomba mnijibuni. Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie. Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/= ( elfu kumi tu). Asanteni sana.
  17. Uwesutanzania

    Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  18. G

    Kufosi kuishi kizungu kwa shotcut za kibongo, Nina rundo la muvi/miziki/pdf za kudownload, kuna usalama wa online backup au nitunze kwenye external ?

    Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni maktaba ilituandalia vipeperushi vya tovuti za kudownload vitabu bure, pia mwalimu wetu wa somo la...
  19. ELI COHEN

    Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
Back
Top Bottom