kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. music mimi

    Natafuta ramani nzuri ya kizungu

    Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Unafikiri Wazungu na jamii za Asia zinaichukuliaje ndoa?

    Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa. Utasikia Kwa...
  3. TODAYS

    LEGACY: Kwanini hili kongamano kitumike kizungu badala ya Kiswahili?

    Wadau wa legacy leo tunalegacy yetu hapa Zanzibar inayotokana aliyekuwa rias wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa inayofanyika kwa mara ya pili na sasa inafanyika nchini Zanzibar kisiwani Unguja. PHOTO: aliyekuwa Rais wa Msumbuji Joachim Chisano akiongea katika kongamano hilo. Rais wa Tanzania...
  4. Nafaka

    Wakimbizi wa Kizungu kwenye ardhi ya Tanganyika

    Leo nilikuwa natazama Aljazeera wakaonyesha documentary ya historia ambapo wakimbizi wa kipoland waliokuwa wanakimbia utawala wa kisoviet baada ya kulazimishwa kuaachs maeneo yao na kufanya kazi kwa kulazimishwa kuhamishwa na kusambazwa katika nchi 6 afrika na serikali ya Mwingereza. Leo...
  5. Kulupango

    Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani, Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain...
  6. H

    Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Habari wakuu. Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa. Amekua akinisaidia hapa na pale. Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki. Pia anataka...
  7. sky soldier

    Wanaume wengi wa kizungu wana pisi kali za kiafrika lakini wanaume wa kiafrika wapo na kina bibi / wanawake wa kawaida wa kizungu

    Kiukweli huwa nashindwa kung'amua hili jambo. Unaweza kukuta mzungu wa kawaida kabisa anaweza kutoka na pisi kali ya kiafrika lakini mwanaume wa kiafrika ambaye yupo vizuri tu atajisifia ku date hata na bibi wa kizungu ilimradi ka date na mzungu. Yani kwa lugha rahisi mzungu anaweza kumpata...
  8. Kipenzi Changu

    Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  9. T

    Kudate na Mwanamke wa Kizungu raha

    Mwenzenu nimeanzisha magusioano na demu wa kizungu, kusema ukweli nainjoi sanaaaa, tena saaaana tu. Mfano Jana nimemgegeda, kinoma, yaaani anashukuru balaa, anasema hajawahi pitia mgegedo kama huu alioambulia kutoka kwangu. Asubuhi kaniandalia breakfast kali pamoja na juice na kisha akani drop...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

    Ng'wanakapolo tafsiri yake ni mtoto wa Kapolo. Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu. Miaka ya 1970s hadi 2000 jina hilo lilivuma sana kwenye mji wa Magu uliopo mkoani Mwanza. Hata kama hukubahatika kumuona kwa macho hakika jina lake ungelisikia tu likivuma maana huyu ndiye...
  11. SubTopic

    Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  12. Kijana Wa Dar

    Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  13. seifutz

    Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
  14. LIKUD

    Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

    Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo. Baadhi ya majina hayo ni pamoja na: 1. John: Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa...
Back
Top Bottom