STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,412
- 7,006
Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21).
Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi.
* Nyumba ya kisasa
*Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2
Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi.
* Nyumba ya kisasa
*Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2
- Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini.
- Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye vyumba angalau 2 na
- Choo cha nje
- Nyumba yote na mabanda vitakuwa fenced