kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

    Nimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba, nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini, kupanga spendi
  3. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa: Baada ya ujenzi Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga utakuwa wa kisasa

    Salaam, Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia. Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan imetia saini kuanza kwa ujenzi wa Uwanja. ILIKUWAJE? Awamu ya kwanza ya Upembuzi yakinifu na...
  6. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro, 760 sqm

    Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini. NI Cha makazi na biashara. Bei Ni 6,300,000. 0785367879
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mwanza nina laki 8

    Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8? Nataka nihamie Mwanza
  8. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

    kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo ukubwa ni hatua 22 kwa 25 dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado) Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari eneo limejengeka sana 6,500,000Tsh tu za Kitanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

    Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha, Kwa Mathias

    A plot for sale Kibaha Kwa Mathias. Ukubwa: Mita 20 kwa 20. Umbali: Km 5 Bara bara ya lami. Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000. Umeme na maji ya dawasco yapo. Huduma za kijamii zote zipo. Kipo jirani na shule. Bei milioni tatu na nusu +255766042214
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye kiwanja Dar tubadilishane na pikipiki

    Tubadilishane au nipe hela Chuma hiki hapa 0743257669 lete mil 1 ipo Banana, mikoani tunakutumia. Hakuna utapeli hapa mali halali doc zote zipo, hakuna haja ya service hapa unapiga stata unasepa hata mkoa.
  12. JamiiForums Tanzania FIFA yazindua uwanja wa Pele Nchini Rwanda. Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe jina la Pele?

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé, aliyefariki Desemba, 2022. Hadi sasa 'Viwanja vya Pele'...
  13. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kisemvule

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zinastahili kufuatwa ili kanunua nyumba au kiwanja kuepuka migogoro hapo baadae

    Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika. Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua! Nitashukuru kwa hili.
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo kimara suka

    Kiwanja nikizur Sana Kinauzwa kipo kimara suka Ukubwa ni mita 20 kwa 22 Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700 Pkpk Tsh. 1000 Barabara safi. 📞 📲 call/whatsapp: 0689859495 no cheni namaliza biashara
  17. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye vyumba viwili kinauzwa Kibaha kwa Mathias

    Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo. Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka. Bei Milioni 15.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua au kutathimini ili kujua bei halisi ya kiwanja

    Habar wadau hope wote mpo poa Maisha magumu lakini elimu pia inasaidia ila yenyewe bila ujanja ni kazi bure ujanja muhimu pia ukiongezea na elimu basi ni full mteremko !!!! nije moja kwa moja kwenye mada naomba ijulikane wazi hapa tunazungumzia bei au thamani ya kiwanja na sio nyaraka utapeli...
  19. JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kufuatilia kupata Hati ya Kiwanja?

    Wadau naomba mnisaidie ni procedure zipi zinafuatwa ili kupata hati ya kiwanja Vitu vinavyotakiwa.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha miembe saba

    Nauza kiwanja Kibaha miembe Ukubwa mita 54 kwa mita 23 Nimepunguza bei ya awali ilikua Mil.13 sasa nauza kwa Mil.9.5, WhatsApp au kupiga kawaida 0674 223 223.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…