Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

Yelawolf49

Member
Sep 20, 2017
73
65
Wakuu habari za majukumu,

Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
 
Njoo Kigamboni kwa chale ni karibu na feri pia ni Karibu na bahari unapata kiwanja cha sqm724 kwa 14,480,000 na pia hati tunakutaftia bure kabisa!
 
Angalia eneo jirani na unapofanyia shughuli zako,watu hawatafuti viwanja for the sake of viwanja bali wanaangalia na mazingira yako.
 
Hiyo bajeti yako ukiitumia vizur unaweza nunua viwanja vitatu vikubwa sehemu mbali mbali hapa DSM na ikabaki hela ya kufuatilia hati miliki kutoka wizarani

Note:
1)Hakikisha viwanja unavyonunua ni surveyed plots
2) usinunue kiwanja chini ya 800sq
3) Nunua kwa makampuni ya real estate na Hakikisha wao ndo watafuatilia hati miliki ya wizara itakua rahisi kwako
4) Siku ingine ukiwa unataka kiwanja usitangulize offer yako coz ni rahisi sana kuuziwa eneo lisilo endana na thamani ya pesa utakayoitoa, Jenga utamaduni wa kufanya research kabla hujafanya maamuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom