kiwanja

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Chanika

    Habari Kiwanja kinauzwa Chanika maeneo ya Buyuni, Kigezi Kina ukubwa wa 1600 sqm bei ni milioni 18, ama ukitaka kukatiwa pia sawa Maelezo zaidi DM
  2. Beah

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  3. Concoo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town

    Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
  4. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja plot no 157 Medeli East-Dodoma, ukubwa sqm 716 karibu na BOT, Morena Hotel, bei 90 milioni

    Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe. Hati ipo Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia ukiridhika nipigie namba 0753477905 tufanye biashara. Napakana na bustan jafo waziri(inapita katikat ya...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha

    Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400. Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu. Umbali km 1 na nusu toka morogoro road, Panafaa kujenga hostel au kwa ajili ya makazi. Umeme na maji vipo jirani. Tayari Kuna walioanza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  8. Wachatek

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  9. Bexb

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya kununua kiwanja ili kupunguza utapeli

    Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara. Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea hati ya kiwanja inapo expire?

    Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi kumtaja Spika kwamba anunua kiwanja kilichouzwa na Jiji. Je, anataka kumchafua baada ya spika kutoa uamuzi Bungeni?

    Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea. Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
  13. Iziwari

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mbweni Mwisho

    Habarini wadau, nauza kiwanja kipo Kata ya MAPINGA kijiji cha KIHARAKA mtaa wa SOWETO karibu na kambi ya jeshi MBWENI, huduma za kijamii zote zipo na kimeshapimwa tayar, Ukubwa 25x25..dk10 kutoka Bagamoyo rod bei ni ml9...hakina udalali.. kwa mawasiliano 0672875803
  15. S

    JamiiForums Tanzania Usinunue kiwanja au shamba lenye mbuyu mkubwa kama huna uwezo wa kukabiliana na changamoto zake

    Habari wadau Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi! Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika...
  16. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

    KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM SIZE: 25m*25m dakika 5 kutoka Bagamoyo Road Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania) Mawasiliano 0713096076
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
  19. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja jijini Mwanza kwa laki 6 tu

    Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna Size: hatua 18 kwa 16 za miguu Mawasiliano: 0713096076 Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa Huduma za kijamii zote zipo senta ya nyanama Mawe, mchanga simenti nondo vyote vipo senta ya karibu...
Back
Top Bottom