kivuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Serengeti

    --- Kivuli cha Serengeti #### Sehemu ya Kwanza: Mwanzo wa Uchunguzi Katika jiji la Dar es Salaam, Amani, mwanahabari mwenye shauku, alikuwa akifanya kazi kwenye ripoti yake ya mwisho kuhusu kupotea kwa wanaharakati wa mazingira. Aliamini kuwa kuna zaidi ya kinachonekana, na alihisi kwamba...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  3. Asali ya limao

    JamiiForums Tanzania SAUTI YA KIVULI

    SURA YA KWANZA MLANGO WA TANO MIAKA MITATU BAADAE TSS HQ-DAR ES SALAAM Nchi ilikuwa imetulia na kurejea katika hali yake ya utulivu kama ilivyokabidhiwa na waasisi wa taifa hili pindi walipoamua kung'atuka katika nafasi zao na kuwa kama wananchi wengine, watu walikuwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maumbo ya kushangaza yanayoweza kutengenezwa na kivuli

  5. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  6. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Afrika na mapokeo ya imani bado haijazoea nuru kamili ndani ya damu yake kuna kivuli cha kale

    Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
  7. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Dhana ya PPP inapotoshwa sana na kina kafulila na serikali haiwezi kwepa majukumu yake kwa kivuli cha PPP

    Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano Mradi wa...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania White Magic, kivuli cha Black Magic

    Full Moon ritual Universe Manifestation Laws of Attraction Medium Astrology Palm reading Kwa kibinadamu zaidi, hizi hatua huonekana hazifungamani na roho yoyote. Ni hatua zisizoonekana kuwapigia magoti fallen angels au kuwa mlokole au kuwa "shaheed" Ila uhakika ni kuwa unfanya black...
  9. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Vijana jifunzeni kwa hawa wazee wenu wanao sota huko kwenye majiji na mijini huku wakijificha kwenye majuto makubwa ya kivuli cha wapambanaji

    Ndugu zangu salaam Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia katika Serikali ya Samia

    Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja. Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

    Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia: 1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17) Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda...
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  14. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kusoma nyakati kwa kutumia kivuli cha jua (Sundials)

    Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili..... Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials) Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Janabi kivuli kilichofichuliwa

    Janabi alikuwa kijana mwenye nguvu na azimio kubwa, akiwa na ndoto ya kuleta matumaini kwa kijiji chake na ulimwengu kwa ujumla. Alitamani siku moja awe rais, daktari, au kiongozi mkuu ambaye jamii ingeweza kumshukuru sana. Hata hivyo, alipokuwa akikua, Janabi aliona mwenendo wenye wasiwasi...
  16. Ndata

    JamiiForums Tanzania Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

    CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema. Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na...
  17. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti. Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya. Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo. Huyu Saba Sita...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mtaa Kawe: Kweli kuna kundi la Wahalifu wanatumia kivuli cha Ulinzi Shirikishi, wanatuchanganya sana

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers. Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
Back
Top Bottom