kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama una chochote ambacho huna matumizi nacho iwe tv, simu, kabati, baiskeli, godoro weka hapa kwenye huu Uzi, na mnunuzi au Mwenye kuhitaji anunue

    Wakuu salam! Yawezekana ukawa nyumbani na kitu,vitu ambavyo huna matumizi navyo, mf godoro labda umeshanunua lingine na Kwa sasa haulitumii,kabati,tv,radio, jiko,simu,meza,sofa n.k Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kusaidiana wale wenye kipato Cha chini au wanaoanza maisha kujipatia vitu Kwa Bei ya...
  2. Akili za kuambiwa changanya na zako

    Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa vyama hivi vimewasilisha majina ya wanachama 36 kugombea nafasi hizo . Vyama vya Siasa...
  3. Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

    Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
  4. Mdogo wa Rafiki yangu ameingiziwa kitu kwenye account ili aende Mkutanoni Kawe

    Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana. Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
  5. Je, Unabii Huu Wa Prophet Rollinga Kwamba Siku Ya Ijumaa 29/8/2025, Kuna Kitu Kitatokea Utatimia?

    Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu... Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri... https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
  6. M

    Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  7. Mtazamo: Kinachotuumiza Mara nyingi si kile tunachokutana nacho Bali matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu

    Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu Ukiwa na matarajio makubwa na kitu Fulani ndo utaanza kutumia nguvu nyingi kuwekeza akili yako pesa yako na hata...
  8. Ukiwa rais Afrika, kila kitu chako kinakuwa rais na rahisi

    Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi. Ukiwa rais, hata gari lako ni rais wa magari yote nchini mwako. Tulizoea kuyasikia haya huko Congo zote, Equatorial Guinea, na Libya...
  9. Siku covax akiandika kupinga hichi kitu ndio nitamuona wa maana

    👇🏻👇🏻 Tofauti na hapo ataendelea kuwa🚮🚮 na itikadi yake uchwara
  10. Unafiki kando.....hii kitu iruhusiwe....serikali inakosa mapato

    https://www.instagram.com/reel/DNzqOD_UrIt/?igsh=MXRscThhYmkwbmJkbQ==
  11. K

    Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga-

    Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga- . Hakuna biashara itapita bila Rostam kuhusika
  12. Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  13. Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

    Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume. Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having...
  14. Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  15. Pesa inanunua kila kitu AFRICA tu na sio nchi za wazungu.

    Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu. Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu. Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia? Au ni kitu gani hapa AFRICA...
  16. Mbinu 7 za Kukusaidia Kukumbuka Zaidi ya 80% ya Kitu Ulichokisoma

    Kujifunza kitu kipya ni rahisi, lakini kukikumbuka kwa muda mrefu mara nyingi ni changamoto. Wanafunzi, watafiti, na hata wafanyakazi kazini mara nyingi hukutana na hali ya kusoma kwa bidii lakini baada ya muda mfupi kusahau mengi waliyosoma. Habari njema ni kwamba kuna mbinu za kitaaluma na za...
  17. Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

    Ciao.. Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi? 1.binafsi naona kawaida 2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume 3. Binafsi sipendi mawigi 4. Hii kwangu ni ajabu 5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi...
  18. Z

    TBC 1 Huyo mchambuzi Mgaya hajui kitu

    Hivi huyo Mgaya mnamlipa?mbona hajitambui au anajitolea tu?
  19. Kwa madini ya huyu Mama Msema Kweli tafadhali naomba mwenye namba yake ya Simu anipe nimrushie chochote kitu

    Kutwa nikisema hapa kuwa Vijana wa leo acheni Kuwadharau Wazee na kuendekeza Uzungu kwani Uzee ni Dawa nami pia mnaniona nimepitwa na wakati. Haya sasa hebu Kuleni Chuma kikali hiki!!!
  20. Pesa ndo kitu kinagombanisha mpaka ndugu

    Ukiona ndugu wanagombana mpaka kuuana hakuna kingine katikati hapo lazima utakuta sababu ni pesa.Aliyegundua pesa alaaniwe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…