kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu ni Mungu wa aina gani anaacha niteseke kiasi hiki?

    Wakuu Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
  2. Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  3. Maajabu ya mwamba Al Naslaa, umekatwa katikati na kitu kikali sana

    Jiwe au Mwamba wa The Al Naslaa unapatikana Kilometa 50 Kusini mwa Tayma nchini Saudi Arabia. Mwamba huu umekatwa katikati na kitu ambacho kilionyesha kina makali hasa. Sababu ya mwamba huo kuonekana umekatwa vipande viwili haijulikani hadi leo. Mwamba huo una upana wa mita 6 na urefu wa mita...
  4. M

    Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

    Spika Ndugai alimshukia Zitto akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote. Usinichezee mimi nina faili langu Milembe. Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Ndugai
  5. A

    Kitu gani kinaweza kusababisha shahidi kukataa kuendelea na cross examination?

    Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na...
  6. L

    Mwanadamu hukinai kitu kadri anavyoendelea kukitumia

    LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY Kiufupi hii law inaelezea ukinai wa kitu unavyotokea. Kadri mtu anavyokitumia kile kitu kinamfanya akichoke na asikitamani tena. Hii law inaendana na law of diminishing marginal return, tofauti ni kwamba ya marginal return inaelezea upande wa productivity...
  7. Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

    Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
  8. Sheria za ulimwengu,sidhani kama Mungu ni muweza wa kila kitu!.

    Kabla sijaelezea kinagaubaga kuhusu kichwa cha uzi ningependa Kwanza niandike mtazamo wangu na jinsi ninavyoelewa kuhusu Mungu. Kiufupi unaweza nitafsiri kama "Agnostic",lakini tafsiri hii hainifungi kuwa siwezi kunena chochote kuhusu Mungu ama nadharia za Umungu!. Kwanza nieleweke hivi kuna...
  9. Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  10. Kama ulitumia hii kitu na hujaoa au kuolewa kaza buti aisee

  11. Uchifu - Ni kitu kizuri Rais kuenzi utamaduni wa Mwafrika

    Afrika kabla ya kutawaliwa tulikuwa na mila na desturi zetu. Wakati huo hatukuwa na dini kama vile uislam na ukrito lakini tulikuwa na njia zetu wenyewe za kuomba kitu fulani kitokee au kujiepusha na janga. Haya mafundisho ya dini kubwa za leo yaliletwa na mabeberu. Na unajua baada ya kutuletea...
  12. TCRA Naomba fuatilieni hii kitu hawa watu wanatapeli watu sana

    Leo nimetumiwa message kutoka kwenye namba +255733326905 kuwa nimeshinda Biko ya milioni 5 waliniona mimi ni zuzu wa kuona milioni tano nitahaha. Wakanipa maelekezo nipige kwenye namba hii 0719254427 Nawaomba cyber polisi na TCRA fuatelieni nyendo za hizi namba mishowe mtamkamata huyu mtu. +
  13. Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  14. R

    Ujinga wenu tu sex kitu cha kawaida sana kwa mwanamke

    Habari wadau Kule uzi wa kula tunda kimasihara unazidi kutanuka watoto wanamwaga stori tu na wanaona kama unexpected sex na demu ni jambo la kifahari sana hawa sio kosa lao, kosa ni ujinga uliopandikizwa kwenye jamii za Kiafrika kwamba mwanamke ni kitu valuable sana madogo someni hapa...
  15. Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

    Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na...
  16. Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

    Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
  17. Pwani: Watatu wafariki kwa kulipukiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa bomu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Pongwe Msungura, Kata ya Msata. Wankyo alisema watu hao waliokota chuma kinachodhaniwa kuwa ni bomu ambacho kililipuka mikononi mwao na...
  18. Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
  19. M

    Chadema hakijui mambo ya kufanya kama short run na haya ya kufanya kama long run vyote wanachanganya

    Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama mwenyekiti anatupia ndoo. Huu ulikuwa wakati mzuri sana wao kutulia na kukiangalia kimbunga cha CCM na...
  20. Ujuzi wa kutawala, muda(time) ndio kitu chenye thamani kuliko vitu vyote ulimwenguni

    Wakuu kwanza heri ya mwaka2022,nimekua nikifuatilia elimu mbalimbali kuhusiana mda ,kiukweli mda ndio kila kitu kwenye maisha ya kila kiumbe ,ila kama huna ujuzi wa kuutawala mda ,wewe si lolote,utaishia kufeli kila siku,ni hivi fikiria kama ungekua unajua mda wako wa kufa,au mda ambao mvua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…