mtarimbo
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,529
- 3,919
Wakuu kwanza heri ya mwaka2022,nimekua nikifuatilia elimu mbalimbali kuhusiana mda ,kiukweli mda ndio kila kitu kwenye maisha ya kila kiumbe ,ila kama huna ujuzi wa kuutawala mda ,wewe si lolote,utaishia kufeli kila siku,ni hivi fikiria kama ungekua unajua mda wako wa kufa,au mda ambao mvua hazitanyesha au zitanyesha kwa wingi ,au mda ambao watu watahitaji kitu flani yaani kiufupi kujua future ya mda wako.nafikiri ukiwa na huu ujuzi utafanikiwa sana.
Sasa tuje kwenye mada je ni nani awezaye kutawala mda? Kimaandiko matakatifu hujulikana kama uzima wa milele, ukiangalia uwezo huu Mungu aliwapa kwa mda tuu baadhi ya mitume ,kama Yusuph,Danieli,Samweli,Eliya,Elisha na wengine wengi.ukiwa na uwezo huu utafahamu nyakati mbalimbali zijazo,na uwezo wa kurudisha muda nyuma mfano kufufua mtu aliyekufa,kujua nini hasa sahihi,kufanya kwa wakati,mda,na saa sahihi,yaani unaweza kurudisha hata miaka yako nyuma,kufufua mambo yaliyokufa mfano uwezo wa kuzaa kwa matasa,hata kikongwe anaweza kushika mimba,ni uwezo wa ajabu sana.
jibu ni kwamba tangu kuumbwa kwa ulimwengu hakuna kiumbe kilichoweza au kupewa uwezo wa kutawala mda zaidi ya Mungu pekee,even Bwana Yesu au nabii Isa bin Mariam alipoulizwa ni lini mwisho wa dunia alijibu mwenye kujua mda ni Mungu pekee,fikiria Yesu kicheo ni wa pili kutoka Mungu ila hakupewa uwezo wa kutawala mda ila alipewa kutawala kwa sehemu chini ya uangalizi mkubwa wa Roho wa Mungu,hivyo ,hakuna awezaye kutawala mda,sasa IPI njia ya kutawala muda?
Mungu alisema mkiniamini na kunitii mtafanikiwa mashambani,makazini yaani kila kina ya dunia utafanikiwa,kumbuka hakuna mafanikiyo bila muda kutawaliwa,hivyo ukitaka kutawala muda mche Mungu.pia alisema mkiniamini mtapata uzima wa mililele,maana yake tutakua kama Yesu tutaweza kutawala mda chini ya uangalizi wa Roho wa Mungu,maanake hatutatawala mda kwa mapenzi yetu Bali kwa mapenzi ya huyo Roho wa Mungu ,hivyo wengi wanaomcha Mungu wengi hawatambui uwezo walionao,ndio maana Mungu akanena watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Tambua huwezi kamwe kutawala mda pasipo huyo Roho.