kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  2. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA inapinga uwekezaji wakati wao wanafundishwa kila kitu na KAS ya Ujerumani

    Leaders’ Capacity Building: Workshop in cooperation with CHADEMA CHADEMA: 2011/2016 Strategic Plan From 01/09 until 05/09/2011, KAS Tanzania will hold a workshop for national trainers in order to prepare the implementation of CHADEMA's training programme.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

    Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali
  7. JamiiForums Tanzania Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume Kumbuka, Hudaiwi Kitu Na Mwanamke Usiyemjua Wala Yeye Hakudai Kitu.

    Usijihisi labda una deni kwake. Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie. Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine. Ukiona mawazo ya hivyo yanakujia, kwamba, inabidi umpe hela/ chochote sababu amekupa muda wake au ili upate muda wake...
  9. JamiiForums Tanzania Wacha aniite vyovyote vile lakini atajifunza kitu kwa hili tukio la leo

    Huyu demu kila mara anaomba nimtoe out angalau anywe beer mbili tatu. Na hana aibu kabisa kuomba omba beers kwa wanaume. Sijamzoea kiasi hicho basi tu anaendekeza uswahili. Mara kadhaa aniita bar naenda namkuta anakunywa safari... Huwa sikai namsalimia tu naondoka. Na ananilaumu. Siku nyingine...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu na Mitaala ni mibovu, ni mwendelezo wa kuwa na Elimu mbovu

    Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimebadilika katika elimu Tanzania? Tukiendelea kuwaacha wajinga watuongoze watu wenye akili ni hatari

    Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika? Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Kipaza sauti ni kitu gani?

    Eti wakuu kipaza sauti ni nini? Hivi vinaitwaje kwa kiswahili? Kipi ni kipaza sauti?
  14. JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

    Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa. Hizi mambo naona ndo zinachangia; 1. Kuuua wake zao 2. Kuchukia wanawake especially singlemoms 3. Kujiua wenyewe Sasa Kwa niaba ya jamii na...
  15. JamiiForums Tanzania Pesa sio Kila kitu kwenye maisha uwenda mapenzi/upendo unahitajika zaidi

    Kwa miaka miwili iliyopita nimefanya kazi saana sana. Nilikua nawaza nikipata pesa za kiasi filani nitaenjoy sana maisha. Sasa hivi saa 6 na dakika 48 nipo macho thinking of mustarbating. Pesa sawa ila kama hamna mapenzi you don't even get to enjoy anything at all not even that money. Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania WhatsApp GB imekumbwa na kitu gani?

    Nimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu?

    Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

    Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano. Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi. Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Naweza kufanya kitu gani /kutoa huduma gani kibiashara kupitia hivi vitu nilivyo navyo bila kuwa na mtaji?

    Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji? Vitu vyenyewe ni: 1.Smartphone 2.Simu ndogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…