TBC 1 Huyo mchambuzi Mgaya hajui kitu

TBC 1 Huyo mchambuzi Mgaya hajui kitu

Anakuambia hawa moroko wanashambulia kama tumewalia Chao😄😄

Kuna muda wakaanza kuimba nyimbo ya pawa

Kuna muda akatoa boko akasema atlas lion

Kiufup ni komedian
 

Attachments

  • Screenshot_2025-08-13_134217~2.jpg
    Screenshot_2025-08-13_134217~2.jpg
    49.6 KB · Views: 23
Shida inapoanza ni kwamba haujalipia kisimbuzi chako mwishowe unaangalia channel ya thithiemu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom