kitu gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

    Tuambie changamoto ulizopitia ili tujifunze, je ulitoa pesa, ngono, uchawa, ulienda kwa mganga,au ulipitianini? Mimi bado natafuta job
  2. Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  3. Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

    Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
  4. Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  5. Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

    Ciao.. Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi? 1.binafsi naona kawaida 2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume 3. Binafsi sipendi mawigi 4. Hii kwangu ni ajabu 5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi...
  6. Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

    Wakuu 🔊 Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅 Tuchambue hapa, tupige stori. Mimi iliwahi kunitokea kusahau laptop nyumbani, bila hiyo siku nzima kazi...
  7. Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera. Kuna mambo kadhaa k.v 1.Wewe ni mweusi, 2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu 3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda 4.Umeolewa? Utaolewa lini...
  8. Mwanaume ni kitu gani hua kinakukata stim ukikiona kwa mwanamke mkiwa mnaanza mtanange??

    Habari za wakati huu wanajamvi. Kila mtu ana matamanio yake linapokuja suala la totoz, ila hizo totoz wakati mwingine hua zinavutia kwa nje tu. Akikuvulia nguo mwili unaishiwa pawa kabisa, na kubaki na maswali kichwani tu. Ila kutokana na utomvu wa nidham wa shahawa inabidi upige tu hata...
  9. Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

    Januari 10, 2014, historia ya televisheni nchini Tanzania ilibadilika kwa kuzinduliwa kwa kituo kipya cha TV1, kupitia StarTimes Channel nambari 103. Ikiwa sehemu ya kituo cha Viasat 1 kutoka Ghana, TV1 iliingia sokoni kwa kishindo, ikibeba ahadi kubwa ya kubadilisha jinsi Watanzania...
  10. Leo ni siku ya vijana duniani. Kama kijana ikatokea dunia yote ikakusikiliza kwa dakika ungesema kitu gani?

    Wakuu, Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35 Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament ) Kuwe na polisi tu lakini...
  11. Hivi Bodaboda wanashindwa kubeba kitu gani?

    Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
  12. Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

    Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka...
  13. Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
  14. Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  15. Tufanye Kitu gani kuepukana na hizi story?

    Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao. Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao. Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a...
  16. Yanayoendelea Tanzania ni matokeo ya kitu gani?

    Tafakari tu bila kukaza fuvu.....tusome comment
  17. Kitu gani umewahi kukipoteza ila haukuwai kujutia?

    Kwako mwana JF, ni jambo Gani hilo ambalo ulilipoteza Ila haukujutia?
  18. KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

    Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu...
  19. Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowahi kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?

    Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowah kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?
  20. WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

    Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa. Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa wanawapinga CHADEMA kwa kitu gani haswa? Kwa sababu hoja nyingi zinazowasilishwa na watu wa CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…