kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. Davidmmarista

    Hivi wakristo mnaamini vipi hiki kitu? Embu tazama hii video

    https://www.instagram.com/reel/DWNBYQVD6iK/?igsh=cTY2aWVyZjc1aGNx
  3. M

    Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  4. T

    Mungu anapofanya kitu kwako... Mi nimepata, kweli kupata ni Majaaliwa

    Mungu anapofanya kitu kwako. NAwe wakumbuke wengine pia. Usiwe mbinafsi. Ukifanikiwa kupata usiwadharau waliokosa na kuamini kuwa wao ni wazembe. Kupata ni Majariwa. Unamwona ng'ombe pamoja na ukubwa wake? Hana ndevu. Ila mbuzi anazo. Utashangaa kweli kupata ni majariwa ndugu yangu. Lakini na...
  5. Scared

    Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

    Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka...
  6. jamaikatz

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee
  7. Dr leader

    Kitu gani kinamsisimua mwanamke

    Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana… “Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?” Nilidhani wangesema: Misuli ya tumbo. Pesa. Au ubabe wa mwanaume. Lakini majibu yao lilinishangaza. Karibu wote walisema kitu kimoja… Sio kile mwanaume anachofanya. Ni kile...
  8. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  9. Mad Max

    Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  10. jamaikatz

    Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako

    Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako 🤔
  11. M

    Kitu gani ulikiona kwenye Usaili ukajua kabisa hapa kazi hakuna?

    Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
  12. M

    Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

    Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako. Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia...
  13. Scared

    Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  14. Traxtion

    Ni kitu gani unapenda kuhusu Tanzania 🇹🇿

    Actually nchi yetu Tanzania ina changamoto nyingi sana na huenda zikachukua miongo mingi kuzitatua. Tumekuwa tukilalamikia changamoto nyingi za nchi hii huku wengi wakitamani zitatuliwe, na hii inaonesha kwamba watu wengi wanaipenda nchi yao, haijalishi tunatofautiana mitazamo kiasi gani lakini...
  15. A

    KERO Je, UTT AMIS kuna kitu kinafichwa bila sisi wanachama kujua?

    Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026. Sasa tatizo lililopo ni kwamba taarifa zetu hazijahamishwa automatic toka kwenye mfumo wa zamani kuja kwenye mfumo huu wa sasa...
  16. secretarybird

    Kitu gani kikitokea mwaka 2026 kitakufurahisha sana?

    Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu? Mzee wa...
  17. Chizi Maarifa

    Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro 3. Khamenei Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
  18. Nyani Ngabu

    Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

    Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai. Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12. Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo? Nchi kubwa namna hiyo...
  19. Jack Daniel

    Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

    Salaam jamiiforum Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa...
  20. M

    Ni jambo gani mzazi/ndugu yako aliwahi kufanyiwa kisa umasikini hujalisahau hadi ukubwani ?

Back
Top Bottom