kiti

Kiti Karaka Riwai (12 September 1870 – 21 January 1927) (also known as Kiti Karaka, Catherine Clark, Kate Clark, Kitty Clark, Kiti Karaka Te Ao Ahitana, or Kiti Ashton) was a New Zealand tribal leader. She was born in Ruapuke Island, Southland, New Zealand in 1870, to parents Arapetere Karaka (Albert Clark) and Mary (née Owen).Of Māori and Moriori descent, she identified with the Kāti Māmoe iwi. Her first husband was Riwai Te Ropiha, a Moriori of the Chatham Islands, with whom she had nine children before divorcing in the early 1900s. Her second husband was Te Ao Ahitana Matenga (Joseph Ashton) of Ngāti Kahungunu, with whom she had one child, Joey Ashton.She helped build the meeting house in Wairua in the 1890s. She died in Greytown in 1927.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

    Mnabwatuka hovyo. Mbona hata wananchi wa kawaida huwa wanaenda viti vyao makanisani. Hapa kuna shida gani? Hii ni non sense. 👇🏿
  2. Suzy Elias

    Haji Manara amsifia RC Amos Makalla

    Alichokiandika Haji Manara Mungu aendelee kukubariki Rais Wetu mpendwa Mama Samia Suluh Hassan kwa kutupatia Mkuu huyu Mwadilifu wa Mkoa Mh Amos Gabriel Makalla . Ukiacha majukumu yake makubwa kama RC, kuna Jambo linatufurahisha sana toka Kwa huyu Kada Mtiifu wa CCM,,Nowadays Hatufokewi hovyo...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jiwe chini ya kiti cha Mfalme wa Uingereza

    Kiti hiki ndicho alichoketi Bi. Elizabeth II wakati anatawazwa kuwa Malkia wa Uingereza mnamo mwaka 1953. Kimetumika kutawazia wafalme na malkia waliotawala dola ya uingereza tangu mwaka 1300. Kinaitwa kiti cha mfalme Edward "King Edward's Chair". Ukiangalia vizuri hapo kitini, utaona kuna...
  4. JanguKamaJangu

    Athari kukaa muda mrefu kwenye kiti hii hapa

    Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu. Wameshauriwa kujenga tabia ya kusimama na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kujiepusha kubana mishipa hiyo. Mtaalamu wa Udhibiti wa Magonjwa wa Wizara ya Afya, Dk...
  5. kavulata

    Eng. Hersi usipigie debe mgombea mmoja kiti Cha makamu wako

    Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu...
  6. B

    Kwanini Mawaziri wanemwachia Waziri Mkuu suala la Ngorongoro! Kiti chake kipo salama tuendako?

    Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
  7. Sky Eclat

    Hiki ni kiti cha dhahabu alichokalia Malkia Victoria wakati anaapishwa

    Ilibidi miguu ya kiti itengenezwe mifupi kwasababu Malkia Victoria alikua mwanamke mfupi kwa umbo, wasingeweza kuweka miguu ya kiti mirefu na kumuacha Malkia akining’inia. Baada ya Victoria alitawala mtoto wake Edward, nae alipokewa na mtoto wake George V aliyerithiwa na mtoto wake Edward ambae...
  8. JanguKamaJangu

    Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  9. Ikaria

    Kenya2022 Mtihani wa kuwapata wagombea-wenza sahihi wa kiti cha urais Kenya

    Mtihani mkubwa ulioko mbele ya Wagombea wa kiti cha Urais #Kenya (Odinga na Ruto) ni chaguo la Mgombea-mwenza. Chaguo lao wote wawili huenda likabadilisha mchakato mzima wa siasa na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Agosti 9. Ni suala la kusubiri tu.
  10. Chachu Ombara

    Muhoozi Kainerugaba (Mtoto wa Rais Museveni) atangaza kustaafu Jeshi. Je, ni maandalizi ya kurithi kiti cha Urais?

    Picha: Baba(Rais), Mtoto (Luteni Jenerali), Mama (Waziri wa Elimu) Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni nani? Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museveni, ambaye ni waziri wa elimu na michezo tangu mwaka 2016. Ni mume wa Charlotte Nankunda Kutesa aliyemuoa...
  11. President of China

    Nilimuona Bwana ameketi katika kiti cha enzi (Utukufu wake ni mkuu)

    Nawasalimu wana JF Watu wote duniani, wasio soma na waliosoma; watafiti na wasio watafiti hatujui kabla na baada ya kufa kitu gani kitatokea. Wengine wanakuja na theories za Time travel lengo lake ni kujifariji. Nilikuwa katika ROHO siku ya Bwana, hakika siku hiyo ilikuwa siku kuu kwangu...
  12. kavulata

    Ilikuwa sahihi kocha Pablo kupiga teke kiti?

    Kocha Pablo amepiga teke kiti wakati mechi ikiwa inaendelea. Hebu tukumbushane maana sikumbuki aina ya adhabu aliyopewa na TFF, bodi ya ligi au serikali kwa kitendo kile alichokifanya siku Ile. Kiti ni Mali iliyokusudiwa kuharibiwa kwa sababu zisizofahamika. Haifahamiki hasa kwanini alikipiga...
  13. Yericko Nyerere

    Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

    Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri...
  14. sajo

    Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  15. P

    Ni nani wa kumtoa Ndugai kwenye kiti chake? Piga chini miradi yote ya 10pc bungeni, mbwai na iwe mbwai

    Kati ya watu nawaaminia ni mh Jobu, aliwahi charaza mtu peupe pe, Na aina ya watu hawa usiwachezee kabisa kwa Kila wanachokiamini tena hasa ukianzisha vagi nao! Jobu, anasimamia mhimili unaojitegemea, na moja ya sifa za mhimili huo ni kuishauri na kuikosoa serikali, Kwa hali yoyote na kwa...
  16. Sky Eclat

    Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

    Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Aliangalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku. Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa. Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa...
  17. Baraka sheni

    Kiti cha saluni kinauzwa

    Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa. BEI 80000 MAONGEZI YAPO. KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
  18. L

    China yaadhimisha miaka 50 tangu kurudishiwa kiti chake kwenye Umoja wa Mataifa

    Leo China inaadhimisha miaka 50 tangu irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa. China inaadhimisha siku hii wakati ikikumbuka safari yake hadi kurudishiwa kiti chake, na mchango iliotoa kwa Umoja huo na uwajibikaji iliounesha. Ikumbukukwe kuwa Umoja wa Mataifa ulianzishwa kwa lengo...
  19. CM 1774858

    Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

    Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote. Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
  20. Idugunde

    CHADEMA chuki dhidi ya taifa lenu inatoka wapi? Kwa namna hii mnastahili hata kiti cha udiwani?

    Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo. Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila namna yakitokea mnakenua meno. Yametokea hapo K' nondoni mnafurahia na kopost furaha zenu kana kwamba...
Back
Top Bottom