Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,633
- 4,611
Napata maono kabisa 2030 hatuta taka kuachia ngaz KITI hiki kitang'ang'aniwa tuendelee kumilik upya,save huu Uzi.
Mkuu tumeonja utamu wa ngubiti ivyo tuwe makiniHaiwezi tokea hiyo. Wenzie walikaa pembeni.
Tawile 🤣Hakika huyu mtu hatatoka na kutakuwa kusalitiana pakubwa sana
Mkuu apa atujazungumzia udini,weka pemben iyo mada yako,atutaki taharuki za bure apaWaislamu hawana shida na madaraka,
Hawajioni Mungu mtu,
Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,
Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,
Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
Ndo ukweli lakini,Mkuu apa atujazungumzia udini,weka pemben iyo mada yako,atutaki taharuki za bure apa
Uzi wangu haujataja dini ya mtu yoyote yule,ivyo usije kutuletea taharuki bure apaNdo ukweli lakini,
Hili alinambia jiran yangu msabato kipindi cha magufuli,
Nikisimkisikia naamalalamikia Samia namuambia ulisahau ulichosema kipindi cha magufuli? Anasema tutamkumbuka Samia akija mwenzetu 2030.
Mkuu Sina mana iyo😂😂😂 usinigombanishe nao aseeeAnatoa mfano halisi wa namna wanawake wa siku hizi walivyo. Mwanamke haaminiki.
Binafsi nimekuwa na hizi hisia muda mrefu..Napata maono kabisa 2030 hatuta taka kuachia ngaz KITI hiki kitang'ang'aniwa tuendelee kumilik upya,save huu Uzi.
Hao wenzie walifanya MO29?Haiwezi tokea hiyo. Wenzie walikaa pembeni.
Anaweza kugoma kutoka kwa sababu ya kuogopa mashtaka ya mauaji.Pili,uongozi/uongo umemfanya adhanie yupo juu mawinguni/untouchable.Tatu,uhondo,kunyenyekewa na kufanywa nusu-mungu unamfanya mtu kuwa zuzu-nguli.Binafsi nimekuwa na hizi hisia muda mrefu..
Mungu tu aingilie Kati.