kitengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka CCM ina kitengo cha kupumbaza watu

    Kama sio ushirikina basi kuna aina fulani ya dawa wanatumia kwa kuwawekea kwenye chakula, kinywaji ama kupitia hewa Mifano ipo mingi lakini tuangalie ya karibuni Nadhani wote tunamkumbuka Peter Msigwa alivyokuwa mjenzi mahiri wa hoja mkakamavu jasiri aliyejiamini na kupendwa sana nyumbani...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

    Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha Ugaidi cha Hamas ameangamizwa!!

    Ameangamizwa ❌ Shambulio la anga la Israel usiku wa kuamkia leo limemwangamiza Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha "ANTI-TERROR" cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hamas, alipokuwa amelala kwenye hema lake.
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania kifahamu Kitengo No.731 huko Japan.

    Japan miaka yake ikiwa kwenye peak, ilikuwa ni moja ya nchi tishio barani Asia kama tu Ujerumani ilivyokuwa tishio barani ulaya enzi zile za vita kuu ya pili ya dunia. Sasa ndani ya jeshi la Japan kulikuwa na kitengo cha kitabibu kulichokuwa mahsusi katika kufanya tafiti za kisayansi za...
  7. Hossam

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha propaganda CHADEMA mmepoa sana!

    Nawashauri kipindi hiki kuelekea Oktoba na hatma ya uchaguzi mkuu jaribuni kuwa active. Wenzenu upande wa pili wako vizuri sana. Vijana wenu hasa kwenye online platforms waambieni wajaribu kwenda na kasi zaidi ya wenzenu upande wa pili. Pangu Pakavu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hiki kitengo chenu cha mapato na leseni mbona hivi????

    Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa kitengo cha kutuma sms sitapeliki Sasa imetosha😅🤣

    Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali Ametukumbusha kuhusu matepeli Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka Na hakika SITAPELIKi tena
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha sheria Yanga ni kibovu

    Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika na kuongea hadharani Alishindwa kutetea Yanga kesi dhidi Kagoma nae akashindwa kujenga hoja...
  11. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Freestyler Cado Kitengo yuko vizuri, ila arekebishe vitu kidogo

    Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani hili jina sio geni kwa wengi wenu. Nilianza kumfahamu rasmi nadhani ni 2017 kama sikosei katika...
  12. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  13. Mr Beltashezah

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Monsinyo Gilbert Ndyamukama ateuliwa na Papa Francis kuwa Mratibu wa Kitengo cha Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

    Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana. Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa Mratibu ndani ya Kitengo cha Kwanza cha Uinjilishaji na Makanisa Maalum cha Baraza la Kipapa la...
  15. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa kitengo cha huduma kwa wateja MWALIMU COMMERCIAL BANK.

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
  16. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Uongozi wa hospitali ya Bugando ujitathimini kwenye kitengo cha Dailysis

    Kama mada inavyonieleza Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha damu Suala la kuwatoa wagonjwa kwenye mfumo baada ya kumaliza matibabu nalo ni kero wahudumu...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, ishu ya Adani kupewa kitengo cha makontena ndiyo iliyosababishwa Abdul Nondo atekwe?

    Connecting dots.. Kama kuna wanasiasa nchini walioisanua ishu ya ADANI kupewa kitengo cha makontena bandarini, basi ni Abdul Nondo. Wakati ule sisi tukiwa busy na ishu ya bandari (kubwa) waliyochukua DP World, huku nyuma serikali ya Bongo fasta fasta ilikuwa ikimsogeza ADANI Jikoni ili apewe...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kitengo cha Road Marshals ili kupunguza ajali za barabarani

    Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
Back
Top Bottom