Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 708
- 1,188
Napatikana Kivule kwa makonde, simu namba 0779 037 093
Yah ni cheap kwasabu nataka pesa ya haraka harakaAll the best
Mbn umeuza cheap sana
kwamba jamaa anarudisha mpira kwa kipa sitaki kuaminiKaribu mkoani mkuu
150 kipo cha mbao, ongeza 50 nikupe na godoro lake kiroho safiKila la kheri.
Ukifika 150k mteja nipo.
Nataka hicho 150k, bila godoro 100k.150 kipo cha mbao, ongeza 50 nikupe na godoro lake kiroho safi
Chukua kwa 130k mbao ngumu hii mzee siwezi kushusha chini ya hapo bossNataka hicho 150k, bila godoro 100k.
100k top boss.Chukua kwa 130k mbao ngumu hii mzee siwezi kushusha chini ya hapo boss
Nicheki kwenye namba 0779037093100k top boss.
Usijali kaka ni mambo ya kawaida kwa mwanaume.Pole sana usikate tamaaa
Duuhh hahahaaa mkuu wewe bado unakaa hom au 😀😀😀😀😀😀Hapo hata laki sitoi
We jdmaa unajua bei ya hivyo vitanda na godoro au unaongea ili mradi uchekeshe watu.Hapo hata laki sitoi
Hata kama ningekuwa nakaa celo laki nisinge toaDuuhh hahahaaa mkuu wewe bado unakaa hom au 😀😀😀😀😀😀