kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja gani kuwepo kikundi kinachoitwa kikundi cha hamasa kwenye matukio ya Kitaifa kama uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo?

    Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo. 1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu. 2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
  3. Young silver

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi Said ni Tumaini Jipya la Kuinua Mpira Wetu Kitaifa

    Katika tasnia ya michezo nchini Tanzania, jina la Eng. Hersi Said limeendelea kung’ara kama mfano wa uongozi bora, ubunifu, na maendeleo ya kweli. Kupitia nafasi yake kama Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa African Club Association (ACA), Eng. Hersi ameonesha dira ya kisasa ya kusimamia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mpina umeuponza, subiri UTEUZI wa kitaifa

    Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
  6. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa Tarehe 10 - 16 Juni, 2025

    Kauli Mbiu: “Famasia, Kiini cha Afya kwa Wote: Ubunifu, Uwekezaji, na Afya Jumuishi kwa Wote Chini ya Uongozi wa Mabadiliko”
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hatujachelewa, tukaeni tupate muafaka wa kitaifa

    Ndugu zangu watanzania. Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana. Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa...
  8. black-tz

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza mwenge wa uhuru kitaifa

    Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu ni ya Wizi na ya kinafiki. Hizi Trilioni 49.35 zinaenda kufanyia nini?

    Bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 inatuonesha dhahiri kuwa tulipigwa na kutapeliwa — jamani ebu imagine! Serikali imetangaza bajeti ya TSh trilioni 49.35, tena kwa mbwembwe zilezile za kila mwaka, kana kwamba Watanzania wote ni mabubu na vipofu wa kifikra. Hii siyo bajeti, huu ni mkakati wa...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

    CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100. Aidha Jumla ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

    RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika...
  14. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

    Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
  17. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Jarida la Tafakuri ya Taifa

    TOLEO MAALUM – APRILI 2025 JE, KUNA DALILI ZA MAKUSUDI ZA KUHUJUMU UTHABITI WA TAIFA LETU? Katika kipindi ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa za kimkakati katika ujenzi wa miundombinu, uendelezaji wa sekta binafsi, na kuimarisha mapato ya ndani kupitia mageuzi ya kiuchumi na utawala bora...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sikukuu za Dini nyingine kama Hinduism zinapaswa kuanza kuthaminiwa na kutambulika Kitaifa kama Public Religious Holidays.

    Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine kama Uhindu, Ubuddha, Usikh, na Baha’i (chini ya 1% kila moja). Zanzibar ni tofauti, ambapo 99% ya...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana

    Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana na uamuzi wa Israeli wa kutaka kurejesha msaada kwa Gaza, akiita "kosa la kihistoria." Anasema, "Maadamu mateka wetu wanakufa wakiwa kwenye Mahandaki, hakuna sababu ya pun je ya chakula au msaada kuingia Gaza," akiwataka Netanyahu na...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina uwezo mkubwa sana kutengeneza ajenda na mijadala ya siasa za nchi kitaifa

    Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa. Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
Back
Top Bottom