Leo hii brand ya Tequila ya Jose Cuervo ndiyo inayoongoza kwa mauzo duniani. Kitabu hiking cha 2025 kinaelezea struggle alizopitia muazilishi wake, siasa za Mexico, figisu za uchaguzi, vita na machafuko wakati huo, mapambano ya ardhi na jinsi Marekani ilivyoingilia siasa za Mexico. Kitabu kizuri.