Maktaba yapokea kitabu cha Michael Moore

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
22,616
Reaction score
33,200
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA MICHAEL MOORE KUTOKA MBALI

Rafiki yangu kipenzi leo adhuhuri kaniletea kitabu cha Michael Moore.
Huyu ndugu yangu ni mpenzi wa Maktaba hii na kaitunuku vitabu vingi.

Kwa wale wenzangu mie wasiomjua Michael Moore hakuna tatizo waingie kwa Prof. Google watapata habari zake zote humo ndani.

Kabla sijasema mengi nataka nikiri kitu.

Mimi sikuwa namjua mwandishi huyu Michael Moore hadi rafiki yangu huyu aliponiletea kitabu chake miaka ya nyuma.

Lakini huyu Michael Moore huu uandishi ni moja tu katika mengi aliyojaaliwa.

Michael Moore kalamu yake na filamu zake anazotengeneza ni kujaribu kuirekebisha serikali ya nchi yake ithamini utu na ubinaadamu ili amani ipatikane duniani.

Sasa kitabu hiki ndugu yangu kaniletea kwa mnasaba huu wa Donald Trump kuwa Rais kigeugeu asiyeweza kuaminika kwa lolote kiasi hata akikuambia rangi ya maziwa ni nyeupe kaulize kwa mtu mwingine.

Kitabu hiki jina lake ni: "Will They Ever Trust Us Again? Letters From the War Zone."

1776696675322.png
 
View attachment 3576125
Mohamed Said

Mzee shukurani kwa kutujulisha kuhusu kitabu hiki.

Michael Moore namfuatilia tangu alipokuwa anamuandama rais George W. Bush na vita yake dhidi ya Saddam Hussein wa Iraq. Nitakitafuta hiki.

Vipi umepata kupitia kitabu cha Profesa Mahmood Mamdani wa Columbia University New York City (alipata kukaa na kufundisha University of Dar es salaam). Kitabu kimezinduliwa muda si mrefu kwa hapo Dar.

Kinaitwa "Slow Poison: Idi Amin, Yoweri Museveni, and the Making of the Ugandan State"
Book by Mahmood Mamdani

Kiranga,
Sijasoma kitabu hicho ila Maktaba imepokea kitabu cha Mamdani hicho hapo chini:

1776714995272.png
 
View attachment 3576356
Naam,

Hicho ulichonacho nimekisikia, sijakisoma, ila kuna hicho kipya nimekisoma, ukipata nafasi kipitie kuna mengi kaandika.

Unaambiwa kuna wahindi huko Uingereza wamemfanya Idi Amin kama Mungu wao wamemuweka kati ya wale miungu ya wahindi, wanamuabudu kabisa, kwa jinsi alivyowapa fursa ya kutoka Uganda na kwenda kuishi Uingereza.

Mimi nikashangaa sana kusikia hivyo kwa kuwa nilijua wahindi watakuwa wanamchukia sana Idi Amin kwa kuwapora mali zao Uganda na kuwatimua kwa short notice.
 
Subhanallah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom