"You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe.
Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki.
Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali ya kihistoria, ni deliberate neglect. Ni uhalifu wa kitaifa dhidi ya akili za watu wake.
Kwa mujibu...
Ndugu wana JF,
Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu.
Vigezo ninavyotafuta:
Awe na leseni hai (valid practicing certificate)
Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com
Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika...
Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale.
Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari.
“Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
Chanzo: Adobe Stock
UTANGULIZI:
Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini.
DHIMA KUU YA MRADI HUU:
Ufugaji wa samaki...
Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika.
Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza.
Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja...
Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe...
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia kiasi cha Sh bilioni 7.8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la taaluma. Hayo yamesemwa jana mjini hapa kwenye maonesho ya kilimo yanayofanyika eneo la Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela na Mkuu wa Taasisi ya TIA...
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.