Wakati Dunia ikiadhimisha siku ya Kiswahili, lugha hiyo sasa inaonekana kuvuka mipaka ya Afrika Mashariki, ambapo sasa Jukwaa la Kimataifa la Nasser la nchini Misri limejitokeza kuwawezesha vijana nchini humo kujifunza lugha hiyo.
Siku ya Kiswahili duniani huadhimishwa Julai 7 ya kila mwaka...