kisutu

  1. beth

    Vigogo wawili wa Bohari ya Dawa (MSD) kufikishwa Mahakamani leo

    Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurian Bwanakunu pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki Byekwaso Tabura watafikishwa Mahakama ya Kisutu kujibu mashtaka yanayowakabili. Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema wanakabiliwa na mashtaka...
  2. Analogia Malenga

    Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  3. Influenza

    Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

    Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano. Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao. Endelea...
  4. Influenza

    Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za utekaji na kuendesha genge la uhalifu

    Serikali imemfikisha mahakamani mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia (41) na mwenzake wakituhumiwa kwa mashtaka manne, ikiwemo utekaji nyara. Angellah na Mohamed Rushaka (36), wamefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashid...
  5. Informer

    Dar: Halima Mdee, Bulaya, Jesca Kishoa, Meya Jacob,Henry Kilewo na wengine wafikishwa Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kufanya fujo gereza la Segerea

    Meya Boniface Jacob ni mmoja kati watu 15 waliofikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi hii leo‬. ‪Bado haijajulikana wanashtakiwa kwa kosa gani‬. Wametoka Kituo cha Polisi Stakishari ====== UPDATE: Kwenye hati ya mashtaka inaonekana kesi itakuwa washtakiwa 29. Wabunge watatu wa CHADEMA...
  6. Masinki

    Pongezi kwa mahakama za Tanzania mnatenda haki, na haki imeonekana kutendeka pale Kisutu

    Penye ukweli watanzania lazima tuseme. Pongezi nyingi Sana kwa Mahakama za Tanzania na watumishi wake haswa Mahakimu,waendesha mashtaka,karani na wengineo.Hakika mnastahili kuwa hapo. Pongezi kubwa zaidi na za kipekee ziende kwa Jaji Mkuu wa Tanzania unafanya kazi kubwa sana,sote tunajua kazi...
  7. Roving Journalist

    Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  8. Nyendo

    Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Meneja Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (SGR), Yetkin Gen Mehmen kulipa faini ya Sh100 milioni au kwenda jela miaka mitatu huku ikitaifisha dola za Marekani 84, 850 alizoshindwa kuzitolea maelezo baada ya kukutwa nazo...
  9. Nyendo

    Kamishna Mkuu TRA Dr. Edwin P. Mhede, awanasa Wachina waliotaka kumpa rushwa ya dola 5,000/=. Wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja

    Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
  10. Influenza

    Dar: Mkandarasi ahukumiwa miaka saba jela kwa kujipatia Tsh. Milioni 116 kidanganyifu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano Februari 19 , 2020 na Hakimu mwandamizi, Vicky Mwaikambo baada ya...
  11. Erythrocyte

    Zitto Kabwe ni mgonjwa alazwa Marekani, madaktari wamtaka asisafiri

    Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena. ======== Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari...
  12. Return Of Undertaker

    Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
  13. pantheraleo

    Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake, Selestine Mwesigwa na kuwaachia huru aliyekuwa mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga na karani Flora Rauya. Malinzi ametiwa hatiani kwa kosa la kutengeneza nyaraka za uongo na mwenzake...
  14. GENTAMYCINE

    Jibu la Mbunge Halima Mdee kwa Hakimu Kisutu ni jibu letu wengine wengi tusiotaka upuuzi na ujinga kwa wanafiki wa mara kwa mara

    Popote alipo hivi sasa Mbunge Halima Mdee naomba atambue kuwa kuelekea Kuumaliza huu mwaka wa 2019 basi amekuwa ni ‘ Shujaa ‘ wangu hasa kwa Majibu yake Kuntu / Mujarab kabisa aliyoyatoa kwa Hakimu juu ya Kuulizwa Kwake kuwa ni lini ataoelewa na Yeye ( Mbunge Halima Mdee ) bila ya Kumchelewesha...
  15. Roving Journalist

    Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

    ===== UPDATE: Hakimu Simba ameshindwa kusoma hukumu Desemba 06, 2019 na hivyo hukumu hiyo itasomwa January 22, 2020 ==== Wakuu, Kesho, Desemba 06, 2019 kutakuwa na hukumu ya mojawapo ya kesi zilizofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Media Co. Ltd na mwanahisa, Mike William...
  16. J

    Msanii Idris Sultan kupandishwa kizimbani, Mahakama ya Kisutu leo

    Kuna kila dalili kuwa yule mchekeshaji nguli Idris Sultan leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu Tetesi hizo zimesikika katika viunga vya Central ambapo watu wa karibu wa Idris wamejichimbia kufualia " yajayo" au kifuatacho kama wanavyopenda kusema watangazaji wa luningani...
  17. Roving Journalist

    Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

    Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Juni 01, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu. Akisoma shauri hilo Hakimu Godfrey...
Back
Top Bottom