kisutu

  1. chiembe

    Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  3. JanguKamaJangu

    Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  4. D

    Kama tuna visual courts siku hizi, kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Kisutu?

    Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually. Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao...
  5. Just Pray

    Mwigizaji Carina azikwa makaburi ya Kisutu, Dar

    Aliyekuwa mwigizaji wa Filamu nchini marehemu Hawa Hussein (Carina), amezikwa leo Aprili 19, 2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Carina alifariki dunia Aprili 15, 2025 nchini India alikoenda kupatiwa matibabu ya tumbo ambalo limemsumbua kwa zaidi ya miaka saba, huku akifanyiwa...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
  7. B

    PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  8. Damaso

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
  9. Waufukweni

    Kesi ya Dkt. Abdi Warsame anayeshutumiwa kwa wizi wa mabilioni yasikilizwa kisiri Kisutu, Waandishi wazuiwa

    Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
  10. JanguKamaJangu

    Mahakama ya Kisutu yapanga Agosti 29, 2024 kusikiliza ushahidi wa kesi ya Boniface Jacob

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
  11. OMOYOGWANE

    TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  12. gstar

    Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

    Ajali mbaya iliyohusisha gari ya Mwendokasi na Gari binafsi ya kifahari aina ya Range Rover imetokea kwenye njiapanda ya mtaa wa Kisutu na Samora, majeruhi wamesha ondolewa kwenye eneo la tukio. Taarifa zaidi zitakujia.
  13. Abraham Lincolnn

    Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  14. Mtafiti77

    Makaburi ya Kisutu hayajai?

    Habari ndugu, Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai? Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu...
  15. BARD AI

    Gramu 8.42 za Bangi zamponza, apandishwa kizimbani Kisutu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempandisha kizimbani Salum Hamad (65) kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi yenye uzito wa gramu 8.42. Akisoma hati ya mashtaka wakili wa Serikali, Judith Kyamba alidai kuwa Julai 30, 2023 maeneo ya Mbagala Rangi Tatu mshtakiwa alikutwa na dawa...
  16. R

    Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje. Je, kauli hizi...
  17. saidoo25

    Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  18. chiembe

    Rais, tunamuomba Dotto James atembelee Kisutu

    Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
  19. Nyendo

    Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  20. Roving Journalist

    Wanafunzi 1000 wajitokeza kuchangia damu, chupa 600 za damu zapatikana katika Kampeni ya KISUTU GIRLS BLOOD DRIVE

    Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana. Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
Back
Top Bottom