kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu kufuturisha kumetumika kisiasa kuliko kiimani; matajiri na wanasiasa wamejifanya ifta kama kongamano; tupate mwongozo next time

    Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani? Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa msitake sifa kwenye mambo ya Usalama kwa misafara ya viongozi!!

    Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!! Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...
  4. JamiiForums Tanzania Juma Duni Haji na Maalim Seif Sharif Hamad; Usawa na Tofauti zao katika Kuyaendea Mapambano ya Kisiasa Zanzibar

    Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kiongozi wa siasa na mapambano ya kisiasa ya kambi ya upinzani Tanzania, ambae alijaaliwa ushawishi mkubwa zaidi kwa upande wa Zanzibar tokea miaka ya 1988 alipofukuzwa katika Chama Cha Mapinduzi na serikali hadi pale umauti ulipomfika, mwezi Februari...
  5. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Samia kutumia sheria ripoti ya CAG ni bora kuliko uwajibikaji wa kisiasa tuliozoea

    Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo." Maagizo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, kimegeuka chama cha kisiasa

    Chama cha waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, Machi 12, 2023 kimefanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wake, ambao watakiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano. Hata hivyo baada ya uchaguzi huo, swali kwa watu wengi limekuja Je? Chama hicho kimegeuka kuwa cha kisiasa? Tunajua kazi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya: Mechi ya Gor Mahia Vs Azam FC yaahirishwa kutokana na vurugu za kisiasa

    Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu kuu nne kwanini wana CCM Uchwara wanaumia sana wakiona Maridhiano ya Kisiasa yananawiri

    Ukweli ni kuwa ndani ya CCM kuna makundi mawili, yaani lile linalokubali Maridhiano ya Kisisa na lile lisilokubali Maridhiano. Kundi hili lisilokubali Maridhiano ya Kisiasa ndio wengi zaidi na wengi wao wamefikia mpaka lugha za kejeli kwa Rais mwenyewe na kama haitoshi wamefikia mpaka kuwakejeli...
  10. JamiiForums Tanzania Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kutatua migogoro ya kisiasa

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni Reconcilation (Maridhiano) Resiliency (Ustahimilivu) -Reforms (Mabadiliko) -Rebuilding (Kujenga Upya) Kweli tunaona...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na watumishi wa umma tafuteni amani na wanasiasa wa CCM walioumizwa na awamu ya Tano

    Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la uzalendo. Tuliambiwa matajiri wataishi kama masikini, tukashangilia; huku mataifa yaliyoendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

    Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa. Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea. Huko Tarime hatuna nguvu tena. Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii Hii ni sababu kuu...
  15. JamiiForums Tanzania Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  16. JamiiForums Tanzania Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari. Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana. Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

    Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani. 👇
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mbichi na mbivu za uhuru wa shughuli za Kisiasa

    Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake. Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona. Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani. "Chadema inataka katiba mpya, sasa."...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza na wapinzani. 3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu. 4...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Upepo kisiasa umebadilika, Lissu aongezewe ulinzi

    Siyo siri tena kuwa tangia kurejea nchini kwa mwanasiasa TAL, hali ya kisiasa nchini imebadilika kabisa. Haipo shaka kuwa huyu ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa zaidi kwa sasa hapa nchini na makundi yote. Humo wamo wafuasi wa chama chake na hata wafuasi wa vyama hasimu, chawa na viongozi wao bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…