Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine.
Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha...