kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

    Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai. Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ofisi za Kisasa za CCM Kujengwa Igunga

    📍Igunga, Tabora "Matarajio yetu ni kuwa na Ofisi za kisasa za Chama (CCM) kwenye Kata za Jimbo letu na baadae kwenye Matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni ndoto kubwa , yenye dhamira njema. Tunashukuru Mwenyezi Mungu mwelekeo ni mzuri na ujenzi umeanza na inshallah tutamaliza." - Mhe...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Kutumia teknolojia ya kisasa ni hatua muhimu katika kuleta usalama na kulinda rasilimali za Tanzania

    Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi. Kwanza, Kuanzishwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kutengeneza maeneo mapya ya kibiashara ili kuiondolea nguvu Kariakoo. Kariakoo ibaki kama mji wa kale

    Serikali inabidi Sasa ifikirie kuunda maeneo mapya ya kibiashara, nje ya kariakoo. Ni ajabu mpaka leo, kariakoo ndio eneo pekee la kibiashara Dar es Salaam, na hicho ndio chanzo cha msongamano mjini. Uwepo mkakati wa makusudi kuwekeza maeneo kama ubungo, kimara, bunju, tegeta kwa kujenga...
  6. JamiiForums Tanzania Najenga mashimo ya vyoo vya kisasa visivyo jaa miaka yote

    Wajenzi wa vyoo vya kisasa visivyo jaa kabisa .Sifa za mashimo yetu .Hayajai .Hayatoi harufu kabisa .Huondoa kero ya kunyonya maji taka mara kwa mara . Huondoa gharama za kunyonya maji taka .Huchukua eneo dogo sana ya nafasi katika eneo lako .Call us .0743257669 Kwa milioni 1 tu...
  7. JamiiForums Tanzania Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
  8. JamiiForums Tanzania Daraja jipya la Kiyegeya limejengwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo imetumika kujenga fly over ya Ubungo

    Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga. "Serikali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bedskirts za kisasa - Mwanza

    Karibuni bedskirts za kisasa na foronya zake zipo 2 Tsh 30000 0621882733 Nipo Mwanza ila hata mikoani natuma kwa uaminifu
  10. JamiiForums Tanzania Ukulima wa kisasa katika picha

  11. JamiiForums Tanzania Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  12. JamiiForums Tanzania Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
  13. JamiiForums Tanzania Boksa za kisasa za Wanaume

    Nunua Boksa za kisasa za Wanaume kutoka Dubai Brand kubwa zinazouzwa Marekani & Wiingereza Mwanaume mwenzangu acha kuvaa local, vaa brand kubwa zinazouzwa kwenye bara la Ulaya ubadilishe muonekano wako, Bei 15,000/= Nipe Oda yako
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023 Rais Samia ameishukuru Serikali ya Marekani kupitia misaada na uwezekaji wa aina mbalimbali unaofanyika nchini. Serikali ya Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Drones mpya za kisasa zashambulia na kuharibu mifumo ya kiulinzi ya Urusi

    Hizi aina mpya za drones ni muziki tofauti. Ukrainian forces just destroyed two expensive Russian air defense systems using one of their new loitering attack drones according to a video released from the encounter. The video was published by volunteer fighter Serhii Prytula according to...
  16. JamiiForums Tanzania THE MODERN WAR: Simulizi ya kijasusi mapenzi na upelelezi

    THE MODERN WAR (Vita ya kisasa) Sehemu ya.........01 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

    Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA? Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la mashauriano ya kisasa la China linapanua ushiriki wa watu kwenye demokrasia

    Mikutano Miwili ya China yaani Bunge la Umma la China NPC na Baraza la Mashauriano ya Kisasa la China CPPCC inaendelea hapa Beijing. Hivi ni vyombo viwili vikubwa vya uwakilishi wa umma katika mambo ya utungaji wa sheria na mashauriano ya kisiasa. Uwepo wa vyombo hivi viwili kwa pamoja, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…