kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  2. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  3. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

    Bei za October 2025↘ 40ft 6M (Excluded VAT) 20ft 3.5M (Exclude VAT) Call us 0658124288|0625085224 Location Dar es salaam kurasini Tunauza empty container FT20 na FT40 kwa bei nafuu. Ikiwa unahitaji kuhifadhi bidhaa zako, kuanzisha biashara au kupeleka site Kama shambani n.k containers zetu...
  4. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

    Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli. Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  7. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kisasa

    Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo. Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
  9. JGGM

    JamiiForums Tanzania Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi Mahali ni Dar es Salaam
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania 2 Samweli 2:26: Samia na Free Man Mbowe: "Msigombane Njiani" katika Muktadha wa Kisasa,

    Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26, unaongelea umuhimu wa umoja na ushirikiano, ambapo Abner anasema, "Msigombane njiani." Huu ni mwito wa...
  11. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

    Nahitaji kufanya biashara ya mayai, nani supplier au mzalishaji mkubwa. Niko dar
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  13. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Mbeya tunauhitaji wa uwanja wa kisasa

    Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu kwa mkoa wetu huu wa Mbeya
  14. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Handbag home! Kisasa zaidi.....

    Nina imani tu sote wazima Kama ilivyo ada, kijana wenu nimepata fursa kwa bos wangu... huu uzi maalum kwa ajili ya handbags (pochi) za kina dada. Duka lipo kariakoo mtaa wa Aggrey na Kongo Huu uzi nautumia kutoa updates na kazi mpya zitakazokuwepo dukani. Delivery services (dsm only 5000tsh)...
  15. L

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA GOROFA MOJA INAUZWA KWA BEI NAFUU

    NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa. ---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

    Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa detention ulikuwa ni utaratibu bora kuliko huu uliopo sasa

    Kwa sisi wa kitambo kidogo wakati wa mwalimu sote tunaukumbuka utaratibu wa detention. Ilikuwa endapo umeikera serIkali basi kilichokuwa kikifanyika ni kukukamata kwa siri na kukuficha pahala. Basi huko utasoma magazeti, utasikiliza radio, utakula vizuri kweli lakini ulipo, raia wa kawaida...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  19. magabelab

    JamiiForums Tanzania Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

    Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknolojia ya kisasa, Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili, hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!, Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa. Lete...
  20. magabelab

    JamiiForums Tanzania Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

    Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa, Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili, hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!, Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa...
Back
Top Bottom